@junior.jacobs48: Governor Lusaka delivers President William Ruto's Mavuno of 5 Million to ACK st. Crispins Church Bungoma. #church #bungomatiktokers #luhyatiktokkenyanfamily #GoViral #Genz #fyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #siasa #catholic #kasongo
FOR SURE PESA NIKIVUNJA MLIMA HA HADI BABA ASKOFU ANAONGEA KIBALUYA CATHOLIC KWISHA NEXT VICTIM
2024-12-01 10:51:37
3
Lawrence Baya :
Is this a Catholic Church surely ☹️☹️☹️
2024-12-01 18:56:03
3
🕸️Ibrahim T🕸️ :
ACk na pesa wacha tu,,,mimi ni wa ack nawajua na niliacha kwenda church 20yrs ago ju ya ulafi yao😂😂😂
2024-12-01 13:18:30
21
jimmyjymjimmy495 :
every Sunday 5m one mnth 20m president salary 2m, kweli kuku zina pesa
2024-12-01 13:14:24
35
Betty :
Dividing the Church into acceptors and rejectors.
2024-12-01 12:33:34
58
josepepe5558 :
They must return that money, I'm sure the nearest hospital haina madawa
2024-12-01 11:55:02
41
Ken K :
Archbishop Ole Sapit do the needful and follow Anyolo footsteps. i know u won't disappoint
2024-12-01 12:34:37
22
Dr.Moses :
The church is tainting itself na hii aki.
Bishop Philip Anyolo is the only person we know.
2024-12-01 11:33:39
43
Nameless :
can't he give a cheque why cash uiiiiiwi haiya
2024-12-01 14:05:11
2
Izzohurah1 :
badala ya kujenga barabara mnakimbilia makanisani nugu hizi
2024-12-01 11:38:47
14
Ben Mesh :
ya 1,2,3,4,5 million.. enyewe Ruto amebarikiwa,no wonder amekubalika dunia mzima
2024-12-01 11:36:13
1
Adhis Madiaba :
They are so much interested in giving millions to bishops,,,,but people are dying in hospitals😩😩 wajinga sana nyinyi
2024-12-01 19:50:25
4
Josiah Njoroge :
What about CBC in junior schools,there are no laboratories
2024-12-01 11:57:21
1
Beatrice Rimui :
yani tunakatwa tax inapelekwa kanisa mungu tupee mlevi🥺
2024-12-01 16:01:20
4
fkanocia💜🥰😍 :
nothing will shake catholic church,kama ulitumwa kuwatusi,we have built so many schools n hospital s not bcz of such small donation
2024-12-01 19:08:32
3
Musyoki :
😂😂😂 yaani hio ni pesa mnapeana Kwa kanisa 😂😂na akuna maedeleo Kwa country
2024-12-01 13:55:41
3
@Oscarrito :
Yet we don't have medicines in hospitals
2024-12-01 12:45:29
29
user3605281555918 :
The money belong to that child, And you people knows Why.
2024-12-01 11:55:37
3
nyamangacalvinsnyamanga :
na watu wanalala njaa
2024-12-01 15:36:26
0
morris mwangi :
kwa ni hii pesa sinatoka wapi na madactari hawa pesa watu wanakufa woooi benki sunafungwa ngaiii aki hapa muchunge zana
2024-12-01 12:13:40
1
Antonio 🇬🇧 :
AcK warudishe pesa? Uwongo. Wana njaa ya kimataifa. Hawaachi hata kama ni shilingi moja. Ukiwa member utajua vile wanakamua, na hawatasaidia mtu hata siku moja.Mkubwa wao ndiye Mr. Moneybags.
2024-12-01 14:41:00
2
Jere :
This is ACK not catholic
2024-12-01 12:13:12
17
His eminence :
hii kenya wacha kusema hakuna pesa...sema huna pesa.
2024-12-01 11:48:42
14
Jaci Joe :
Kwani kulikuwa na deni btn ruto na askofu 🤔
hakuna tofauti ya Ruto na Moi same same behaviors
2024-12-05 09:31:46
1
To see more videos from user @junior.jacobs48, please go to the Tikwm
homepage.