nimetumia mwezi ulopita now 🤰🤰 Asante sana lafiki angu anaitwa mage ndo alinipa hii dawa
2024-12-14 16:26:01
4
Fetty 🥰 :
unachemsha mizizi au majani yake ?
2025-08-22 08:32:25
0
Ghurly ~YE🦋🤍 :
Guys hii inasaidia for realll🔥🔥mimi nilkua na viuvimbe maji kweny uzaz wa 2CM nkatumia Mkunde yangu nasubir mpk unga 🔥🔥nmekuja kurud kufanya checkup kwa ultrasound after mwez nmekuta nmepona KBs 🙌🙌🙌
2025-10-06 12:06:28
1
haikacareen🦋 :
anasema mizizi ndo inachemshwa, lakini kwa picha naona majani🙆♀
2025-10-20 18:30:38
1
chuchunge :
kwaio km umemaliza period haifai kutumia?
2025-09-08 19:53:38
0
user2240284614351 :
coast ukiwaambia huu ni mkunde watakushangaa huu unaitwa mnuka uvundo mizizi yake ni mujarab kwa jino kma lauma five minutes waskia ziii
2024-12-11 15:35:06
5
Amina Kilonga :
samahani unakunywa ukiwa period au ukimaliza?
2024-12-11 09:49:05
4
Monica Nginya :
kwahiyo unatumia kiasi gani glass moja au vipi ,pia hiyo dawa unayochemusha unakuwa unaipacha tu unakunywa had siku saba au ikimaliza siku nyingi unatafuta nyingine tena
2024-12-23 20:07:00
2
Snasha Sam :
mm mwnyew jna ndo nimetoka kuchemsha Leo ndo nmeanza dozi naomba mngu anifanyie wepesii hii ikawe dawa yngu ya mwsho nije kuleta mrejeshoo
2024-12-11 20:26:56
5
Binti D 🌄 :
dada kila ninapo karibia P huwa napata vichomi vikali sehemu ya haja kubwaa naomba nisaidie dawa gani nitumie dada angu 🙏