@mcmboneke_comedian: DAH NGOJA NIRUDI TU NYUMBNI

Mc Mboneke
Mc Mboneke
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 December 2024 19:49:17 GMT
1197203
38217
965
2228

Music

Download

Comments

omoologo1208
omoologo1208 :
Mimi nilienda kwa mjomba angu mtoto wake akashika nyundo anatak anipige nayo kichwani mama aake akaniambia nisimkatalie atalia😂😂😂😂
2024-12-14 10:23:13
298
user5581095234098
Enjoy ❤️😅😜. :
kama unamkubali mboneke like hapaa🤣
2024-12-13 19:55:47
579
makulaya
Makulaya :
kama uipendi CCM gonga like
2025-02-02 09:35:00
1
sstr52
girl :
😂😂😂iiishantokea nilienda ugenini kwa wenye hela zao sio sisi tunaolala na mitungi ya gesi yule mtoto alikuwa anandandia mgongoni uku analuka Luka nkakapa kisino kimoja takatifu akaanza kulia alivokuja mama ake nkamwambia kadondoka kakakasirika kale katoto kakaenda kuchomoa nyaya zote zativii na kumwaga maji Mimi nkaaga jmn naondoka ata chakula skusubiri 😄
2024-12-13 21:23:40
98
uncle.comtz
mjomba.tz :
jaman kufirwa laha
2024-12-14 13:32:16
4
happyremmysoka
happyremmysoka :
mimi ilinitokea huyo mtoto alikuja ananichezea chezea tu kiukorofi nikamwambia we pumbavu nini embu nenda kasome weee wazazi wake kila nikikaa utasikia humu ndani hatufundishi watoto matusi kama unatabia za matusi ni vyema ukaondoka basi na mi nikaona nivyema nikaondoka maana ningeibua lingine sipendi kulea watoto kijinga jinga.
2024-12-14 22:45:15
16
jaxsondach
Jaxson Dach :
wanaangalia na mtu mwenyewe sio watoto wa dada hata ingekua wa boss nitakacho wafanya nahisi siku hyo nitalala police 🥺
2024-12-14 07:07:33
10
mwanyalila
Ticko noah :
wanangalia na limjomba lenyew lilivo
2024-12-14 07:50:28
9
user4952818639319
Baba nulfat :
kwa kweli nishida
2025-02-11 20:29:53
1
glasswyne
Baba Kendrick Skyler :
alafu unasikia dada yako asema "usiwapige hao watalia"
2024-12-13 20:44:13
92
shizzzy25
shizzzy :
Watakutia mpk vidole ao wachekee tu
2024-12-14 11:08:35
3
katoto.cha.lfumbili
katoto ka alfu mbili :
ma hans boy wote sasa rasmi nina acount yangu naomba mje mnifollow katoto cha alfu mbili
2024-12-20 04:35:48
1
stinamars23
stinamars23 :
uyo alovuta ndomo sasa😂
2024-12-14 10:50:20
4
frankmashauli
Frank Mashauli :
ila mboneke asante bhana kuna wakati unatufanya meno yawe nje wapambanaj
2024-12-15 06:15:40
5
chimamaog162
Chimama🥰❤️ :
Ngekuwa mimi apo ningewafinya wote wangekaambali na mimi mamaee😅😅😅😅😅😅😅
2024-12-14 05:57:00
3
grammy.dora254
Grammy dora offishall :
saa zingine unahepa vitu zingine.. unajipeleka uko kufanya nini ¿
2024-12-14 08:06:38
20
jacksonmagabiro
Jackson Magabiro :
kama n mm nawambia wacheze wao mchezo wa kuchapana alaf nalia mm
2024-12-15 16:12:11
3
johnson_jcl
user52370234193280 :
tunao mshauli alud kwaoo wote hapa😁😁😁😁😁
2025-01-08 18:05:23
5
victorcrissi
KA MWISHO🧢🗣️ :
🤥 ALIE sikia Mjomba zima simu TV unapata Moto. au NI Mimi tuu
2024-12-13 19:57:40
11
user2796567967670
user2796567967670 :
skia lafudhi ya huy dogo kabila gani ety
2024-12-13 20:39:11
7
athuyusuph1112
Athumani Yusuph :
duh
2024-12-14 15:54:49
2
faaa902
faidha :
Hahaa😂😂 ilinikuta. kwa bosiwangu mtoto alikua ana mtupa mdoli chini makusudi naa mbiwa niokotee nisipo muokota analia bosi akiskia kazisina. basi ilikua ana tupa minamkota ndofurahayake daa 🙏🙏
2024-12-14 04:36:17
13
user9182190280795
G love 💛💚 :
Huwa wanaangalia sura zenyewe zakuwafanyia ujinga huo mfn kama mm sura yambuzi tabasamu lang'ombe wanaanzaje😡
2024-12-14 12:18:31
2
yoeboytz
yoe boy official :
huyo dogo aliye mutemeaa mate htr🥺🥺
2024-12-13 20:13:27
4
alfanfataa460
Alfan Fataa :
mi hawawezi kunifanyia ujinga huo
2024-12-14 00:23:45
3
To see more videos from user @mcmboneke_comedian, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About