@babakerenee: Maswali mengi yanakuja watu wanataka class E au C kuongeza kwa Leseni ya Bara! Chuo chetu kinapandisha madaraja Leseni ya Zanzibar tu! Wenye leseni za bara Road Traffic Act Cap 168 inahusika . Zanzibar tunaendesha hizi program kwa sheria ya Zanzibar Road Traffic Act no.7/2003
Remy Mkwaya
Region: TZ
Monday 16 December 2024 16:01:17 GMT
Music
Download
Comments
hamed tz % 512 :
C saivi kuanzia miaka mingapi unapewa
2025-08-30 12:09:53
0
ishakanassor :
Leseni za ndege mnatowa hapo ofisini kwako boss
2024-12-19 12:17:50
0
mansu :
kubadilisha lesen ya daa ni kias gan
2025-10-02 12:54:17
0
Ibrahim :
mm nina b1 je ninaweza kuendesha tax
2025-09-08 12:40:48
0
mwalimu :
nataka kujifunza niendeshe bodaboda,.leseni class gani inafiti hapo na ni shilingi ngapi kuipata hiyo leseni kwa muda gani??
2025-04-22 12:42:58
0
Salum saleh :
sasa kama sisi tuliop pemba jee afande tunafanyaje
2025-01-06 05:20:37
0
4999 :
kaka mimi sina hata moja nanina hitaji leseni je nitakupataje
2024-12-16 18:33:47
0
cuteray-lady :
Kujifunza ni bei gani na inachukua mda gani?
2024-12-16 16:52:20
0
shenkotz 💕 :
class D bei gani
2024-12-16 20:48:45
0
Ali :
mbroo samahani ukitaka kuengeza class unakaa darasani na kusoma sheria upya ?
2024-12-17 00:39:15
0
mosleim mohd :
mm nataka class d ila ctk kukaa chuo mana
nishakaa sana kwa ediga n c1 ss natak iyo d
2024-12-17 19:59:50
1
mcute zuu :
Afande Remiy miss u🥰
2024-12-16 17:00:27
0
Alli Said953 :
Afande hivi mtu mwenye cheti na mwenye leseni class A B1 D1 yenye miaka 6 anataka kuongeza class anatakiwa kusomea pia??
2024-12-19 12:13:24
0
said :
class D miaka mingp
2024-12-16 18:04:14
1
user7510028577986 :
mm nakaribia mwaka sasa tangu nimalize kusome na kupata lesen yangu B1 lakn hadi leo cheti cjapata, nishakuja zaid ya mara 5,
2024-12-18 10:29:33
0
jizzo Boy :
Habari Afande,samahani mm nauliza apo chuoni kias gn kujifunza driving na kwa mda gani utakua ushapata leseni
2024-12-17 09:12:55
0
™siyangu@ :
habari yako Afande wetu mm ninayo B1 inamiaka 11 nataka D&C class vipi naweza kuengeza kwa pamoja? Ahsante
2024-12-24 12:24:58
0
issaya :
nakuja kuchukua D inagarim kias gn saiv
2024-12-19 11:53:03
0
Afigo Baa :
Mimi nipo Zanzibar unanisaidiaje
2024-12-16 18:51:51
0
Hasnoor :
Mim natak kuengeza C kavu chuon apo beigani?
2024-12-17 09:24:55
1
Manface Fildoline :
next 🔥🔥🔥
2024-12-19 15:56:40
1
D.ranny tozz :
Kwann kuna maan gani kuwa na lesn tofaut wakat tuko nchii moja??
2024-12-16 17:18:01
0
gaaz :
mm natak d1 na lecen ya hond je inawezekan kuzipt pamoj na mpak kuzipt inakuw bei gan naomb unijib
2024-12-17 02:08:40
0
TOᘔᘔY🍂💦 :
Asante
2024-12-16 18:01:38
0
hamady khamis634 :
kaka
2024-12-21 18:36:10
0
To see more videos from user @babakerenee, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.