@_r2jr: Easily silence incoming calls by flipping your phone face down #nasiuongo #r2jr #fyp

R2_Junior
R2_Junior
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 18 December 2024 07:37:29 GMT
157375
4456
90
70

Music

Download

Comments

honest.liar4
Honest_Liar🧢 :
unasema vitu za Samsung msee sisi watu wa Tecno buana hatuna bahati😂😂
2024-12-18 07:43:01
5
amazing_graceful
Amazing Grace :
na settings za kufanya call isiwe displayed kwa lock untill you unlock
2024-12-18 12:52:45
14
the.nice.boss
THE NICE BOSS :
yangu haitaki ni Samsung
2025-03-16 20:19:22
0
user9742680760939avril
Aurelia :
na ukitaka new numbers isiingie mtu akikol pleaseee
2024-12-18 13:39:17
0
user6351342888758
Nonno :
Yangu haina
2024-12-18 08:27:03
1
judie740
judie bancy :
asanty😅
2024-12-18 08:34:18
1
aimnewboy
New boy :
mzee 😁kuna settings niliskia ukisema kwenda kujaribu let me tell you maina sai simu yangu ya watu credit ikatwi😂😂ni God manze thats brò
2024-12-18 10:49:38
0
_ridhy_
Pinky 𖣂 🖤🥀 :
kwani hamujui ukifinya power button itakua silent ??
2024-12-18 13:09:43
10
mamagulz
Jecinta Shalom 🥰 :
mbona Infinix Haina 😳
2024-12-18 09:55:56
0
almatech001
Alma vj :
Mkuu Sasa nimeamini hukuwangi moungo😂😂
2024-12-18 11:50:27
0
musili994
Prince :
only on on Samsung phones
2024-12-19 13:41:01
1
asamjunior1
AMOLO🪔 :
Redmi to the world 💪😂
2024-12-18 16:52:11
1
esthermndungu
Mother of three :
How to record call on what's up help plz
2024-12-19 15:52:05
1
starlite8363
starlite :
walai niukweli na redmi thanks
2024-12-18 13:11:00
1
kimdonaldson8
kimdonaldson :
ooh yes thanks brother
2024-12-19 06:48:04
0
nofriendlikejesus
FREDDY :
s24 je ?
2024-12-18 17:40:39
0
everlyeadoyo2
everlyeadoyo :
Mtu Akinipigia Nkiwa Online Hua inakua Shida Kupokea Io $mu
2024-12-18 19:57:43
0
mwendejj
Mwari wa Thuku :
this is for vivo phones and above 🤣🤣🤣 techno,Infinix,itel and others don't try this 🤣
2024-12-19 16:40:28
0
kaiboi_poly
Kaiboi trending news :
How to undo subscriptions bro
2024-12-19 16:25:24
0
brianben542
Mtoi Wa Lona🫰♥️ :
Na bro mtu akinikol nikiwa kwa another call haionyeshi incoming call,, naeza itoa aje please 🙏
2025-01-24 14:27:59
0
dennohkemz
Dennohkemz :
me yangu nilisett kwa developer options any button inaeka silent
2025-01-06 14:05:15
0
evanso_mreggea
Evãñsõ🇰🇪 :
na ikiwa kwa mfuko 🤣
2024-12-19 09:01:13
0
manuu__galaxy
@manuu💥 :
set vibration ianze kwanza then ringtone automatically utaizima b4 ringtone ifike
2024-12-18 17:55:38
0
frankmugambi6
frankmugambi6 :
si kwa simu zote
2024-12-18 09:05:01
0
adamabely
Adams :
Broo redmi yangu nimefanya update juzi sai signals low niaje
2024-12-18 19:17:13
0
To see more videos from user @_r2jr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About