@dr_daudi_reprocare: Unajua jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi wa siku 28 na kuelewa siku zako za hedhi, hatari, na salama? 🌸 Hii hapa njia rahisi: 🩸 Siku za Hedhi: Siku 1-5 (mwezi unaanza kwa flow 🩸). 🌟 Siku Salama: Siku 6-10 na 19-28 (kipindi cha amani). 💛 Siku Hatari: Siku 11-18 (ovulation iko karibu—umakini mkubwa hapa!). Kila mwanamke ana mzunguko wake wa kipekee! Kuwa na ufahamu huu kusaidia kupanga uzazi au kuimarisha afya yako ya uzazi. 💕 Usisahau kujua mwili wako zaidi. 🙌 #Hedhi #SikuSalama #SikuHatari #AfyaYaUzazi #Mwanamke #MzungukoWaSiku28 #ReproductiveCare"_
Mimi niliingia tatehe 7 nimemaliza tarehe 11 siku zangu za Atari ni lini
2025-08-11 12:53:05
5
Staż😋dar :
Mimi nimeingia tareh 5 nimemaliza trh nane siku zangu za hatari ni lini dear
2025-10-08 19:21:10
1
Chui Town :
Mimi nimeingia tarehe sita siku zangu za hatari ni zipi
2025-11-17 10:12:25
0
Dawa_za_uzazi_wanawake :
Kuhesabu calendar ni njia salama ya kujizuia kupata mimba
2025-11-17 17:13:16
0
Dija Kimodo :
Dr mm natamani kushika ujauzito ila period zngu azipo sawa
2025-11-11 20:22:28
0
innocencia :
wanaopata siku tatu au mbil je na kwamwez mmoja naweza kuingia mwanzo na mwishn yan mara 2 inakuaj
2025-09-12 08:13:31
0
Tiffany 🥰🧡❤️🫀❤️🩹🦋🦋 :
dokta mi nimeaanza talee mbili talee 6 nimemaliza je siku za atali nizipi
2025-05-07 14:06:05
0
lady Rwandaa🦋 :
Eti ni kwanini siku ya 18 mmeiweka kwenye hatarii wakat inakuwaga ni siku salama,,na kama ni siku ya hatari je ukifanya hiyo siku ya 18 je ni rahisi kupata mimba
2025-04-16 05:42:30
2
Jane salon🌸 :
af mtowe neno danger kwa mtoto muweke 😁 happy ☺
2025-09-23 00:11:54
7
marryda :
mm tr huwa zinabadilika lkn ya sasa ,,mzunguko wa siku33 period naenda siku 5 siku ya hatare ni siku gani dr👏👏
2025-07-15 14:53:25
0
ho-nest☺☺💖💯💯🌺 :
mai uaweza pata mimba siku ya kumalizia hedhi eet na inayofwataaa tena
2025-03-15 18:40:17
2
Victoria feston :
jamn mm jimesalitiwa na hii karendaa dah nilifanya siku salama hiyo ya 9 nimetumia hii kwa mda mrefu lkn now imenisaliti nashangaa nina mimba now
2025-09-29 08:03:53
0
Hùmblé Böy :
me nakojoa mara kwa mara
2025-10-28 13:17:52
1
light :
ukilala mwaume siku ya Kwanza ya hedhi unaweza kushika mimba
2025-10-11 06:44:02
0
@aishatyler22 :
nanyesha tarehe 8 siku gani cez kupata mimba
2025-03-23 17:04:19
1
Susan mose :
Hii inamaanisha after mp ukimaliza 5dys kuanzia siku ya sita ndo unaeza shika mimba
2025-09-09 17:42:42
0
user49395452475675 :
mmi napata soku tano ila tarehe zinabadikilika zinashuka kwa tsno tano mwezi huu tarehe 30 unskuja 25 unaokuja tena 20 ivo yani .ssa naweza kutumiya table hii
2025-07-23 05:13:52
0
jeylamu :
Nina swali na mtu anae pata hethi taree 25 -29 siku zake za hatari ni zipi
2025-09-28 16:26:11
0
dyanna :
mm niliingia kuanzia tarehe 22-26 salama ni zipi
2025-10-10 04:22:24
0
Vannah💫💖 :
jmn meingia trh nane cku zang za hatar zinaanz lini🥺
2025-10-23 22:03:58
1
mirwilliam's3969 :
siku ya 28 ukishiriki tendo unaweza kupata Mimba?
2025-03-26 11:23:54
0
sabisma1 :
Nikiingia p 12 nika maliza tareh 16 nika duuh tareh 3 je naweza kupata mimba?
2025-08-04 08:57:36
0
😍ms 45kikos 🌺🌹 :
me naingia 31 natoka tarehe4 siku zahatar lin
2025-10-24 10:17:50
0
Cute lee🥀🌹 :
na me nikiingia 24 nikamaliz 28 cku salm na hatr n zip
2025-10-19 20:00:08
0
To see more videos from user @dr_daudi_reprocare, please go to the Tikwm
homepage.