Kuna mimi sasa sheikh naomba tu unisomee Dua nimetengwa ata na mamangu ata nikimuomba anisaidie na Mia moja hatanijibu
2025-01-13 20:28:31
2
Shezy daghesh :
Sass hivi ndugu akikusaidia tu inakuwa matangazo yaa rabby nifungulie milango ya riski nami niwe na vyangu
2025-01-11 12:15:09
31
samirahannad :
Kiyama
2025-01-13 08:45:56
0
M254"🇰🇪 :
supposed kama ndugu mwenyewe hasaidiki, hasikii, amejiweka kwa Shari na watu, hajitumi mwenyewe, ni mvivu amejiweka kwa drug's, anakata undugu na dadake, huyo unamfanya ajeh?
2025-01-13 09:39:32
0
Ayesha saido72 :
subhanallah mbona mimi ndugu yangu kanitoa kupika pamoja kisha ana maana nimeambia watoto wawe wakienda masjid atafute mtu wa kumshikia ng'ombe lakini watoto wasikose kwenda kwa ibada💔 damu si nzito
2025-01-14 11:22:24
0
Pedeshee 😄😄 :
shekhe wangu nimelia sana 🥺 twapitia magumu sana 😞
2025-01-12 22:38:55
9
shomarymercy6 :
Tuna Ndugu kwenye pesa Lakin twasaidiwa na Marafi menye mioyo yallaby
2025-01-13 21:26:36
4
BAADRU__ :
Tuwapend ndug ndug nd mila kitu ya Allah type nguvu tuwajali ngug zetu
2025-01-11 20:33:47
1
nahyaranjan :
swadakta
2025-01-14 03:42:02
0
AbdiOmar_1985 :
jamaa na omba jina la huyu sheikh anaitwaje???
2025-01-13 19:42:37
0
HOYOO SOMALIYEED :
WALAHI NIKO NA MA NDUGU WAKO NA PESA
LAKINI WAWEZI KUNISAIDIA WANASAIDIA WATU WA NJEE😭😭😭😭😭
KUNA SIKU NA LALA NJAA MIMI NA WATOTO WANGU😭😭😭ALHAMDULILAH
WAKUOMBA NI ALLAH PEKEE🤲🤲🤲ALHAMDULILA
2025-01-12 20:55:58
4
Abuu Salim mbarak :
facts shekhe wangu yaani umelenga mahala pake
2025-01-11 16:53:20
2
ZahraRash :
amin amin
2025-01-14 18:33:36
0
khadijer30 :
Jina la sheikh tafadhali
2025-01-11 15:19:55
1
dragon :
daaah I feel this bro
2025-01-14 19:34:21
0
saleh buqhatir. muzamill :
Thanks for advice sheikh All a hum a barik🙏🙏
2025-01-11 10:00:24
10
razo salu :
Allah akupe maishà marefu shekh
2025-01-13 21:39:42
0
mike amiri :
🥲takbir
2025-01-12 16:09:05
0
Abdulaziz Mohamed :
mashaallah beautiful words
2025-02-17 10:27:55
1
Malkia Wa Hamso :
waallahi 🥺Allah atu jaalie tuweze kutoa kwaakili ya Allah
2025-01-13 08:49:15
0
fatma Mohammed :
SubhanaAllah 😭😭😭💔🙏🥰🥰🥰
2025-01-16 09:54:27
0
❤️ innocent girl 😇 :
wengine hata ukimuelezeyà shida hakusaidii
2025-01-11 10:49:36
12
Suleiman :
Leo wamefundishwa kuwa ndugu yako ndio mchawi wako ndio mana wanasaidia watu ambao wanapo haribikiwa wanamsema.
2025-01-11 20:39:40
2
halima mwadzaphara :
KWELI KBS SWADAQTA ♥️🥰🥰🥰
2025-01-13 18:03:48
0
user3427787480306 :
what is the name of this sheikh
2025-02-20 08:10:33
0
To see more videos from user @abdull_hafidh, please go to the Tikwm
homepage.