@focusdigitotv: Ukitaka Pesa ya Haraka, Nenda Shambani😎 #focusdigitotv #focusdigitoupdates #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya

Focus Digito TV
Focus Digito TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 January 2025 05:30:39 GMT
282538
9986
518
978

Music

Download

Comments

jumazoga1
jumazoga :
we ulienda lini!
2025-01-27 08:30:09
87
user5442006137256
chikawe freck :
hao wanaopiga makofi na huyo anayepuliza vuvuzela wapimwe akili🤣🤣🤣🤣
2025-01-27 09:51:24
27
ignasnziku1
MR CHEN :
Uyu mnamwelewe
2025-04-07 05:42:14
0
gody5046
GK classic :
pesa ya haraka zpo nyingi 2 tatizo polic
2025-01-27 18:09:25
7
barakashaibu117
Baraka Shaibu :
kama shamba kuna wewe ilikuwaje ukaingia kwenye siasa au hizo fursa umeziona ulivokua huko hiv hua mnatuchukuliaje ambao hatuna hela
2025-01-27 13:06:04
15
mutasamwesi
ChiefMutasa :
we mbn huendi
2025-01-27 11:19:57
41
user4907081196051
shamsi john :
shamban tukalime nn pamba soko mmeliua mahindi mpunga havina soko tulime nn sasa au twende shamaban takateseke2
2025-01-27 10:22:45
2
upendoww
upendoww :
watt wako wamenda shamban toka uko
2025-01-27 11:46:44
5
user128511724399
Amri komba :
ila maisha haya
2025-04-05 18:32:25
0
damas.michael1
Damas Michael :
unajua wanatuona kama.................................????
2025-01-27 13:09:09
2
user95924441870245
user95924441870245 :
mpaka leo wasira yupo serikalini hataki kulima
2025-01-27 10:18:27
12
zennah614
Zennah :
mbona nyie na wabunge mmejazana dodoma kwanini msiwachie vijana muende shambani?
2025-01-27 23:01:09
2
user5348800053091
Samangwana :
Mbona mamaako haendi shambani anakimbilia kukopa
2025-01-27 16:18:30
6
traore2416
Traore :
Mungu akupe maisha marefu mheshimiwa .Unafanya Kazi zuli iliyotukuka .CCM Baba lao
2025-01-27 14:40:55
1
96000568858home
🇼 🇮 🇩 🇸 🇴 🇳 :
nenda wewe mnazingua sana mjue mnahimiza wengine tu
2025-01-27 09:06:58
6
mwasomola100
Mwasomola✅ :
huko shambani kuna mtu anagawa pesa au ??
2025-01-27 16:11:20
4
davyjones5200
Mr.Tips :
we mbona uko bungeni ccm mnatuchuliaje
2025-01-27 13:04:11
1
user16355291156870
Eric egidius jwtz 🙏🙏🙏 :
nakuoana na jembe 🤣🤣🤣msitufanye wajinga bhn
2025-01-27 09:15:27
2
miagie.langoi5
Miagie Langoi :
ivi ww unajua kilimo kweli tena ya kutegemea mvua
2025-01-27 15:22:07
1
user5837110766803
JMTRAORE :
achane kupoteza watanzania mbolea na madawa badala ya kuboresha mazao inaongeza wadudu wakulima wanapata hasar nyie mnafaid kod
2025-01-27 08:39:06
1
user1369148302421
user1369148302421 :
wapeleke wanao
2025-01-27 21:03:04
2
0759088587s
jii :
mm ndo huyo aliyepiga hilo vivuzela😂
2025-01-28 15:05:18
0
user359408140181
user359408140181 :
unaokota halaka au?
2025-01-27 20:04:53
1
user3834406008559
moohjay :
kumbe kuna ela shamban zimefichwa na hamsemi ..sijapenda😢😢
2025-01-28 10:22:30
1
user75114550075306
dotto yusuph masanja :
Huyu jamaa tangu aondoke magu simwelew kabisaa
2025-01-27 09:22:54
15
To see more videos from user @focusdigitotv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About