@wallpaper_tanzania: KARIBU @ UJIPATIE WALLPAPER KWA BEI NAFUU. Wallpaper 3D ni 25,000 kwa rola Wallpaper 5D ni 65.000 kwa rola Mable sticker ni 30,000 kwa rola Gundi ni 10,000.. nb gundi moja unaweza kuwekea hadi rola 3... Ufundi kwa rola ni 10,000 TUPO K/KOO NA MIKOANI TUNATUMA KWA GHARAMA ZA MTEJA.... kARIBUNI SANA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 CALL & WHATSAPP 0626463840 #vilar #fyp #trendingvideo #zanzibartiktok #mbeya #tiktoktanzania🇹🇿 #mwanza #tiktokdodoma #arusha

Wallpaper mr punguzo
Wallpaper mr punguzo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 January 2025 19:19:48 GMT
413706
14072
839
485

Music

Download

Comments

534287jknv
great 👍 :
roll moja pesa ngapi
2025-03-13 11:55:15
0
kiswaga29
Kiswaga :
Nataka lakin nikibandua si itabanduka kwa kubaki baki?
2025-02-17 16:41:22
2
user514915079380
nurupuya :
wekaka shingp mm natak ir nip kibah
2025-02-16 17:52:57
0
dully.khan6
dully khan :
Chumba kizma bei gan
2025-03-13 14:44:23
0
user2070618033985
pogo boy :
oya ipoje iyo 0611573236
2025-03-22 06:19:43
0
abratysop
ABRATYSOAP :
ivi ukibandua haitoi rangi za watuu ukutani maana baba mwenye nyumba wangu chizi
2025-02-01 18:50:07
9
matha_saimon233
official _matha233 :
wengine hatujui lola ninini tunachojua nilola za saloon
2025-02-01 16:34:01
4
dazzlerazzle19
DAZZLE RAZZLE :
mko wap
2025-04-01 16:23:08
0
carolynemungwa
Carolyne Mungwa :
mfano apo ulipo huo ukuta ni Lola ngapi
2025-02-18 12:46:30
0
jimmymacha1
jimmymacha1 :
mpo wp
2025-04-20 13:27:25
0
kidogo60
kidogo :
chumba kizima bei gn kam hii
2025-02-19 20:40:28
0
abushehkanik
Abzayd kaniki 200225 :
iv wakati wa kuitoa haiharibu ukuta ulio pigwa rangi
2025-02-01 13:49:52
5
user4030557544907
mlayconsolatha :
kuta mbili kama hizo bei gani
2025-03-23 19:04:48
2
mslightness1
MS LIGHTNESS WA HERRY MWANGA🕺 :
kwani yenywe aiji na gundi
2025-02-01 09:21:46
0
user95296135129787
Evelyne simon lyamuya :
unakuja kuniwekeaa
2025-02-23 19:43:01
0
godamvoice
Godamvoice :
Nahitaji hii wallpaper
2025-02-01 09:12:34
1
salmah_collection8
Salmah♥️🥰 :
zanzibar hamna wakala
2025-02-01 10:53:43
1
salon.chunya
mama p salon 💅 💇‍♂️ :
uko wap naitaj
2025-02-01 08:52:58
0
thaidaty
Thaidaty :
kama umepakwa rang inakubal?
2025-02-01 10:25:29
0
reyfaa_beaut
reyfaa_beaut :
naomba namba za ofsini kwako
2025-02-02 10:54:26
0
ashlyne57
cuteashlyne :
mtu yuaeza weka bila ata ya kupiga rangi au mpaka rangi
2025-02-20 16:28:43
0
user9356927355570
Agi :
wa mikoani mnatuma na mnakuja au
2025-02-01 12:24:28
0
mursalayoub
💯💯💯 :
boss chumb kizima full n rolla ngapi boss
2025-02-03 05:41:00
6
sam.2s0
Sam.2s :
Mko wap
2025-02-01 16:49:36
0
To see more videos from user @wallpaper_tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About