nimekukumbuka mbali sana..
mama angu
baba angu
dada angu
my son
2025-02-13 15:08:40
138
Ofical Fatty :
nimejikuta namkumbuka bibi yangu kipenz Mungu amlaze mahali pema peponi Ameen 🙏
2025-02-13 19:31:09
20
princessveronicam5 :
mdogo wangu deo nimekukumbuka sana jamani daah
2025-02-19 11:54:05
2
user5125341470846 :
ubalikiwe sana kaka
2025-02-13 11:35:20
26
Binti Atu. :
hii yimbo ilipigwa mama angu anawekwa kaburini ilikuwa kama ndoto😭😭😭😭 kwanini mungu aliruhusu kifo cha mama angu jamani
Maisha magumu sana bila mama
rest easy mom
I miss you mama angu Atu
2025-02-15 07:11:05
20
@CUTE_EUNICE🤑 :
i remember msiba wa mamkubwa angu😭😭tulijitahd na dada angu kusafir tunapfika nyumban kwa mama tukakuta wanaimba hii nyimbo 😭😭na mama kazikwa 😭😭
2025-02-14 13:49:47
2
Neema :
rest in peace mum, December 2025😭😭
2025-02-18 10:57:53
5
naum kosgei :
Reminds me of Dad we lost him last month 😢😭,may he continue rest in peace