@monsuly2: Dada zangu na kaka zangu , Siku zote nipo kwaajili ya kukuelimisha, Siwezi katana na habari nzuri kama hii harafu niache kuwakumbusha ndugu zangu haya sasa msikilize Mtumishi @SAM_MTUMISHI

Monsuly
Monsuly
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 March 2025 12:53:47 GMT
162596
7946
425
802

Music

Download

Comments

latifafikili
latiphafikili :
nguo ya ndani ukiogea uson chunus znaisha😅
2025-03-02 17:25:53
57
jeyh123
lavie :
sijawah ogea dodok wallah na nimetenga kabisa nguo za ndan za kuogea
2025-03-02 15:55:07
80
husnahatibu
kichuna babe🥀 :
Duh kumbe nimejua kwann mama alikuwa akigundua nimeogea chupi anakasilika sana kumbe ndomana ake jmn😭
2025-04-26 09:21:15
0
emanuelmmbaga
Emanuel Mmbaga :
🤣🤣🤣🤣hizi imani sijui wanazitoa wapi... ila bhna usipotumia akili zako kwenye haya utapotea vibaya sana kila siku kuna mtu anaibuka na lake😂😂
2025-03-03 13:47:10
23
queen.salema4
Queen Salema :
Suluhisho n nn jaman manake ndo nmemaliza kuogea hapa😭 miaka 18 sas naogea na ndo maana naachwaga tu mm jmn😭😭
2025-03-02 17:51:00
19
eddieeee28
sweet eddy :
kumbe hapa ndo shida ilianzia
2025-03-02 20:19:34
2
neymmbaga355
neymmbaga355 :
Mmh achen uongo yan saiv kila kitu ni kibaya kwa namna fulani ila hakuna ukwel wowote achen hzo fikra
2025-03-03 12:52:26
7
grecehenry2
marsh girl :
nyoko kweli yani usichana wangu mpaka hapa nilipo chupi ndio dodoki langu na sijawai salitiwa na nazaa viuli bika tatizo
2025-03-02 19:50:31
11
user6833725469257
Tinah254 :
Asante mchungaji walai nisingeyajua haya
2025-04-08 17:34:16
0
manchesterunitedforevera
Man U Forever ❤️❤️🥰⚽️ :
na mimi nikitumia dodoki kuoga nayo hua najikuna sana na ndo mana hua natumia nguo za ndani kuoga
2025-03-03 07:51:25
2
user2519483811258
💫Clara::💫 :
mm chupi inatoa chunus
2025-03-02 22:54:37
7
user1685949142798
user1685949142798 :
Mm mbona naogea toka niko mtoto na zijawai hachwa
2025-04-28 13:58:50
1
pid.kulemba
Pid Kulemba :
huyu mtumishi pepo ni yake mungu akuongoze vema mimi ni muislamu nimekuelewa vizuri
2025-03-02 14:04:41
53
the.real.lulu
the real lulu💞🦋🥰 :
Ni kweli sasa tushaogea sana tunafanye tutoe hilo janaba jamani yaani naachwa bila sababu
2025-03-02 14:13:33
7
kidoti0355
kidoti :
yani kweli kabisa hata Mimi niliambiw Ivo mahusiano yangu yalikuwa ivoivo Leo kesho nikaachwa kumbe ndio sababu sasa nimeacha kuogea na mpenz wangu ananipenda sanaa🥰🥰
2025-03-03 05:11:06
1
devothamwenda615
Devotha Mwenda :
nimekoma mm
2025-03-02 13:55:41
3
lydiana4243
Lydiana :
Asante naacha from now
2025-03-02 13:51:32
16
floraznv2sy
FLORA :
Apo pa kichwa na mapigo ya moyo, mekuelew 🤔
2025-03-02 17:00:12
14
sakina.honestly
Sakina Honestly :
Ooooooh Mungu wangu tu sahidiye🙏🙏🙏 kama kweli apo uliyo ya sema
2025-04-03 06:03:47
1
user3097816144041
sara :
duuh nimekoma mm🥺🥺
2025-03-02 13:31:06
11
chioma.chichi63
chioma chichi :
Daaaaah ndomana nakimbiwa kila cku😭😭😭😭😭😭
2025-03-02 17:33:42
27
zedy452
son of the soil :
mmmhhhh exactly
2025-03-02 13:33:29
2
masikakayungulamgmail.co
masikakayungulamgmail.co :
naona sasa njanjo la mateso yangu😭😭😭
2025-03-21 01:11:33
0
christophersuzane
mama aika :
katokea wapi huyu nae😳
2025-04-01 12:11:54
0
reneymmasy
ch@rming girl🦋 :
basi ndomaana😞😩💔😂
2025-03-04 20:10:40
1
To see more videos from user @monsuly2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About