@wachokonozi: NI AIBU KUSEMA TUNA WIZARA YA ELIMU #WACHOKONOZI #fypviralシ #viral #elimu #trendingvideo #tiktokkenya #VETA #daresalaamtiktok #tiktokafrika🇸🇳🇲🇦🇲🇱🇿🇲🇿🇼🇿🇦🇬🇶🇱🇷🇱🇾🇬🇳 #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #tiktokarushatanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #tiktokdaressalaam #ajira

wachokonozi
wachokonozi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 March 2025 12:22:01 GMT
27281
1303
41
30

Music

Download

Comments

chadali627
CHADALIII ✅ :
nyiee AKILI amna asa maik ipo kweny kijiti araf mnajikut mnakosoa wenzenu
2025-03-24 08:27:12
1
daniel.lapulga
Daniel Malaki :
mabraza mje mtuletee mjadala wa elimu kwa upana kbs, haiwezekani nchi yetu ina vitu/rasilimali nyingi san kama gold, misitu, vivutio vya utalii kama maziwa mbuga za wanyama n.k, afu tunafundshwa mofim
2025-03-20 16:13:00
8
user7206943071420
user7206943071420 :
yaani huo jamaa apewe ulizi. wake
2025-05-17 15:22:51
0
kerendemurefu
Kerende Murefu :
wizara zote tz ni vitengo vya kuchuma kodi kutoka kwa wananchi.. ndo mana kila wizara ina leseni za kukuzuia kufanya chochote bila kibali(kulipia)
2025-03-20 23:21:47
9
i_am_god963
i_am_god963 :
TBS KAZI YAKE SIO KUTHIBITISHA N KUHALALISHA,UNAKUTA SUMU INAMUHULI WA TBS NA NI CHAKULA ETI😅 WANATUONA SISI MAZWAZWA KWEL YANI,,KILA UNACHOKIONA KIPO TOFAUTI NA UNACHOFIKILI NDIO CODE INAYOTUMIKA💯
2025-03-20 13:00:11
8
geneous67
JAMES JSM :
we mwenyewe ni mfugo umesoma had university
2025-03-21 13:41:35
0
mcmrticha
Mc Mr Ticha🎤💉 :
ELIMU YAKO ELIMU YAKO OOOH HAPA NIMEKULEWA NDO MAANA MWAMBA IBRAHIM TRAOLE AMEKATAZA WATU WAKE WASISHOBOKEE KIFARANSA😤😤😤
2025-03-21 04:51:45
2
user3888410000917
@mustapharamadhan :
pamoja bro uko sawa kabisa asimia mia
2025-03-21 17:02:20
0
doctor_mariam_afya_uzazi
doctor_mariam_afya_na_uzazi :
hakika🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-03-21 06:10:26
4
rama.duki
NOTORIOUS MIMI🇹🇿🇲🇾 :
ktk siku duniani uliyoongea point ni LEO.
2025-03-20 14:44:47
3
felixrusingira
felixrusingira :
naomba nafasi tuungane kufundisha watz
2025-03-22 15:25:05
0
msigwa10
msigwa10 :
tanzania hakuna elimu kama mtu anadegree anaenda veta kujifunza kutengeneza stuli
2025-03-21 01:23:14
4
kaka_fursa
Mr Y :
Kuna namna nawapata Sana
2025-03-22 11:42:51
1
user529581319749
[email protected] :
Mpo sahihi kabisa.
2025-04-06 07:06:25
0
user6123090229298
user6123090229298 :
Nyie mmechoka ugali na maharage nyumbani sasa
2025-03-20 23:13:58
2
franklaw86
FrankLaw( official) :
🤣🤣🤣, ila kweli aisee.
2025-03-21 02:51:25
2
thewinne4
Grateful888 :
😂😂😎😂😂ni hatari 😂
2025-03-21 03:05:12
4
user96160618554376
user96160618554376 :
Naona umegundua kwamba unaupungufu Wa akili😄😄😄
2025-03-22 17:50:35
0
salumjumanne3190
salumjumanne3190 :
fact
2025-04-16 11:31:13
0
.johcrazy
JOHCRAZY :
Fact 💯
2025-04-19 13:30:55
1
wa5.mtukufu
wa5 mtukufu :
🤣🤣🤣🤣 fact
2025-03-21 03:12:07
2
mbix10
Mbix :
😅😅😅
2025-03-20 13:15:19
2
officializidory
ezilon :
😁😁😁😁
2025-03-20 12:55:42
3
jominspiration
J.O.M Inspiration :
😹😹😹
2025-03-20 17:39:33
2
godwin6272
Godwinkainamula :
🤣😂🤣
2025-03-20 14:35:04
2
To see more videos from user @wachokonozi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About