@tedavi.medical.ce: FREE SURGICAL CAMP LOCATION MALINDI DATE 19 APRIL 2025 SHARE THE MESSAGE 1. Upasuji wa magonjwa ya kina mama : gynecological 2.upasuaji wa ugonjwa wa kibofu cha mkojo : urological 3. Upasuaji wa shida za mifupa :orhhopedic 4.matibabu ya ugonjwa wa ngozi: dermatology 5.shida za meno : dental 6.shida za moyo...: cardiology CARING FOR THE GROWING NEED OF OUR COMMUNITY IS A JOINT EFFORT. SUPPORT US BY SHARING THE MESSAGE FOLLOWING US AND LIKING OUR VIDEOS. SHUKRAN #tiktokkenya🇰🇪 #medical #surgicalcamp #oman🇴🇲 #freemedicalcamp #malindi #TAUFIQHOSPITAL#helpinghand

TEDAVI MEDICAL CENTRE
TEDAVI MEDICAL CENTRE
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 06 April 2025 16:28:49 GMT
49640
967
117
1298

Music

Download

Comments

michaelkazungu34
usthadh saed abdallah 93 :
sasa mm nko na sister mdogo ako na ugonwja wa kifafa lkn hkzliwa nacho naize saidika
2025-04-09 10:00:17
1
princessralki
princess👸 :
hi kama nataka kusajili leo naeza
2025-04-18 12:21:43
1
user280605015285
user280605015285 :
ya macho ama upasuaji wa nini
2025-04-09 13:56:28
0
mulema6038
mulema6038 :
@😊 p
2025-04-19 04:42:45
2
akhadija_mabuyu_achari
akhadija_mabuyu_achari :
nimadaktari pekee au kuna na mastudent hapo wakifanya operation?
2025-04-07 17:53:50
3
purit.fikiri
Purit Fikiri :
watangaza na tumefika tukakosa
2025-04-19 07:32:39
1
mwambegu30
Mwambegu30 :
Vipi watu wenye shida za mifupa wanaezasaidika kweli jameni
2025-04-09 05:40:46
1
asadullah.274
ASADULLAH🦁 :
je naweza mtoa mzee wangu lamu aje ni stry za. kweli hizi
2025-04-07 18:40:13
1
user9811103751584
Greccie :
wenye lipoma wanafanyiwa
2025-04-10 06:51:34
1
ghaniyah343
Ghaniyah :
malindi Zanzibar au malindi mombasa
2025-04-10 20:27:05
0
lynne.max
Lynne Max :
Serikali ya ruto
2025-04-10 17:40:02
1
salim.nguma
Salim Nguma :
mimi shida yangu meno...vipi?
2025-04-08 08:23:54
1
sofiamummy33
SOFIA MUMMY :
mwenye ugonjwa wa moyo anaeza fanyiwa
2025-04-07 20:46:05
1
salmasaidi233
salmasaidi233 :
kujisajili ni Sasa au mpaka hiyo tarehe kumi na tisa
2025-04-08 04:33:16
1
user5919998063668
user5919998063668 :
twauliza kuhusu catarract...ya macho...
2025-04-06 20:38:45
1
aunt.yake
Aunt yake :
wenye fibroids pia tutafanyiwa operation
2025-04-07 17:30:47
1
www.tiktok.com.loven
mama loveness :
niko na shida kwa uzazi jee naeza tibiwa
2025-04-07 23:02:48
1
unclejj2018gmail.com
uncle j j :
ni bure au pesa maana tawfiq wameweka pesa mbele kuliko afya ya binadamu
2025-04-08 08:02:56
0
classy.attitude.gurl
mama's gwal :
braces pia waeza ekwa
2025-04-07 18:24:32
1
switvirgo
swit-virgo :
Vipi kuhusu tezi? Uko upasuaji?
2025-04-06 21:37:52
1
robinsonkalama
Robby K :
can i bring my mum with alsers problem
2025-04-09 19:45:23
1
salha_kurby
Salha~Al~Kurby~Collection :
kuna booking ama waenda tu
2025-04-08 08:21:18
2
damu_nyeupe
damu nyeupe :
nataka sana kuisambaza hii video lakini tufungulie tupate kuidownload please 🙏
2025-04-08 01:13:31
1
www.joseaugusturs
Jose Augustus 254 :
tunajisajili vipi
2025-04-08 07:58:26
1
jeffjeffjeff37
Jeff Jeff Jeff933 :
medical learners coming for praticals nothing for free
2025-04-08 05:58:06
2
To see more videos from user @tedavi.medical.ce, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About