Hizo huduma zote tunalipia jamani lakin bado Levy tunakabwa
2025-04-27 09:44:22
0
Esmail Sumra :
Kwa maana hiyo malipo tunayotozwa na wakandarasi waliyopewa kazi ya usafi na ukusanyaji taka, hatustahili kuwalipa kwa vile tunalipa service levy?
2025-04-06 21:44:02
0
one kill one cover :
mara nyingi huduma zinazotolewa na halimashauri/manispaa hazilingani na gharama hizo wanazotozwa wafanya biashara mf.usafi ,ulinzi imara na usalama ,je! mteja achukue hatuagan akikosa huduma sahihi?
2025-04-06 21:40:25
0
To see more videos from user @freetaxguidetz, please go to the Tikwm
homepage.