Hiyo perfume jau inataka upulizie mda wote haikai masaa nne tu
2025-04-11 18:42:25
5
victor shirima(kishamba) :
mh hiyo haikai na harufu mda mrefu au nilipigwa mimi
2025-04-09 15:41:11
13
NIPHA TZ❤ :
Wang anatumia lkn sasa ni mkali kam mbwa😏😏😏😏
2025-04-09 12:23:11
10
Miriam Macha :
Kwenye upole hapo hapana ni uongo 😢💔🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakwangu anakwambia naongea mara moja sirudii Tena 😀😀😀
2025-04-09 05:09:45
5
shannydequeen :
ila hiiii me natumia pia ctaki kujua kama yakiume au laah na inanukia sanajaman
2025-04-08 12:12:13
9
Mansa Mussa :
Tunao tumia mzigo huu tujuanae 👍 😁🫡
2025-04-11 13:44:39
12
Rk ndondo :
kumbe Ni ya wanaume mim natumia mbna au nakosea
2025-04-08 12:02:37
0
🦋 JASMIN🦋❤️ :
natafuta chastity
2025-10-03 18:07:43
0
catie01 :
wangu mbona mgomv 🤣
2025-04-10 14:16:10
1
kyleen kyleen 06 :
elfu 45bni pafyuma au kiwanja sifa ya mwanaume ni kunuka jasho
2025-04-09 16:38:44
2
cathy :
Uongoo😂😂 wangu kauzuuu😢😢
2025-04-09 07:34:15
5
ASKOFU ✝️⛪ :
Harufu yake inataka kuendana na Club de nuit 🤗🔥
2025-04-08 20:30:23
11
هدية :
Ww umejuaje kamaa wa pole ?😂
2025-04-08 10:49:20
2
piusshirima697 :
unafany delivery?
2025-04-08 09:57:18
0
Mamuu💞 :
unauza wapiiu nije nimnunulie my mbaba Wangu ♥🤣
2025-04-09 14:25:35
0
Iyoo_richard :
Hapo kwenye upole sio kweli mm natumia na ninajijua😂😂😂😂
2025-04-09 08:37:38
2
Baba prince Taji :
my favourite perfume
2025-04-15 06:12:41
2
ZANZ🌹 UNIQUE 👘👗 :
pineapple flavour🔥🔥 but hii haikai muda mrefu😂😂
2025-05-15 00:42:27
1
Julieth :
Kama ni Mimi je Ndio natumia 😆😆
2025-04-09 12:36:44
0
africannegro-breezexavege :
ngjaa nijaribu kama ntakuwa chaupole😁
2025-04-10 10:33:45
1
Dayana🫶🏼🩷 :
mweee visalitiiii😂😂😂
2025-04-09 08:58:06
2
Elizabeth_Daniely :
😂😂😂😂 uuuuwiiii imebidi ncheke kwanza sitii neno yupo uku 🤣🤣🤣
2025-04-09 07:27:05
1
brunochuwa8 :
Uko wap
2025-04-09 12:26:21
1
eninga :
NOW RAVE uliyepulizia hauisikii manukato yake ila walio na wewe ndiyo wana enjoy; ni ya ajabu kweli. ukitaka na wewe mwenyewe ui enjoy ipulize pamoja na mwenziye kama Shaliz😍😍. niishie hapo kwa sasa
2025-04-30 11:38:38
0
To see more videos from user @bree_essentials, please go to the Tikwm
homepage.