@monsuly2: Juzi nilikuwa ndani ya Temeke, Kijana Moses alikuwa anaishi na mwanamke wake ndani ya miaka mitatu, Lakini baada wakiwa katikati ya ndoa yao, Mwanamke akashika Ujauzito lakini jamaa anaamini kuwa ujauzito haukuwa wake, Jamaa alimlazimisha Mwanamke atoe lakini ilishindikana, Mwishowe mwanamke akaamua kuhama nyumba na kuishi na mwanaume mwingine , Leo tukapata nafasi ya kwenda hadi anapoishi sasa hivi huyo mwanamke tukasikia sauti za watu wakila rahaa zao ndani 🙌🏾🙌🏾 Hii video tayari nimekuwekea YouTube kwenye account ya MONSULY Hakikisha kama unataka Kumiliki Ardhi yako au kununua Nyumba, Hakikisha unatembelea page yetu ya @barcelonarealestate_ Tunauza Nyumba za kisasa kuanzia 200M hadi 1B Pia tunauza viwanja vilivyopimwa na kufhamika na Manispaa Tupigie no +255 714 240 500 +255 750 300 300