@gloryugocs8:

🦋Glorious🦋
🦋Glorious🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 April 2025 05:58:54 GMT
5484
284
43
2

Music

Download

Comments

kategeavitha44
Avitha store🥰 :
mama kipo leo Kawa serious🤣
2025-04-11 06:15:26
2
zithafaustin
Zitha Faustin :
hapo kwemye i am sick dua zenu😁😁😁
2025-04-11 22:22:47
0
juliesam01
juliesam :
sad truth😭😭😭
2025-04-12 21:17:44
0
salome86630
salome binti ernest :
hiyo ya kukonda ilinitesa sana now nimenenepa wanaanza tena lohhhhh mnikome jmn
2025-04-11 07:26:12
6
bellatarsis
bella🇹🇿 :
Kuna mtu qnakuambia umekuwa bonge ona hayo mashavu😏😏😏 wanakera sana
2025-04-11 06:11:08
1
miss.karata3
💕miss Karata 💕 :
wananiuzi hawa ujaolewa adi leo ujazaa tu zaa basii yani olewa basii 😌😌
2025-04-11 06:20:08
2
msbrinah6
ms~Brinah🦋 :
Unamuda wa kuria nikusimulieee 🥺🥺
2025-04-11 07:04:51
1
luvsupergal
fact woman :
Acha kabisa kabisaa better shut the mouth up🙌
2025-04-11 06:56:05
1
edmarkarusha
Frida Chami :
Kabisa dear.. dunia ina mengi hii
2025-04-11 06:06:27
1
edelfrida98
♓️pisces queen ♓ :
haha watu wembamba tunateseka jamaniiii kila sehemu maneno machafu jamanii
2025-04-11 17:13:58
1
shopwithinabstore
Shop with Inab_store✨️ :
Asante for me🥰......But unaongea ukweli mnoo mama Kipo alooo🥺🥰
2025-04-11 15:54:08
1
lilyshayo5
lilyshayo5 :
aloo umenigusa kuna kipindi nilinunua boda boda basi bahati mbaya mwezi tu akapata ajali akafa nikauza pkpk mwaka ulioguata nikanunua nyingine nikampa boda mwingine week tatu akapata ajali tena jmn
2025-05-02 13:02:58
0
ceejay57855
Cee Jay :
Mimi niliambiwa umekonda Kama mmbwaa aliyezaa,sintasahau,halafu nimpendwa mwenzangu,jamani ila Mungu atukuzwe.
2025-04-30 09:48:24
0
hawa.mshama
Hawa Mshama :
Dada G🥰yan jmn ppl tujifunze kukaa kmy mm imenifnya kuna watu niwacutt of mana ni walopokaji jmn yan kha lijitu mbele za wTu linaanza kuongea umekonda au umenenepa😔
2025-04-15 11:21:13
0
princessvee61
Neema Sammy :
yaani una kitu kikubwa sana ndani yako . Mungu akutunze ❤️❤️
2025-04-13 21:08:53
0
itsmomatif
itsmomatif :
napitia changamoto flani sasaiv juzi nimeenda spitali basi kuna mtu ananambia we unakuwa bonge tuu🥺🥺
2025-04-13 08:21:54
0
itsmomatif
itsmomatif :
umenigusa mama kipo🥰
2025-04-13 08:20:45
0
user623093138433
Sunday 12 :
🥹🥹 umenikumbusha kuna kipindi nilikonda na kupalala juu akatokea mbuzi mmoja akanambia mbna umekondeana kama umemeza kiroba alooh ctosahau🙌
2025-04-12 16:39:19
0
malaika43558
Malaika :
Tabia mbaya sana, na wengine wanajifanya kusema km utani kumbe ndo ana maanisha hvo
2025-04-12 12:56:41
0
amidachesaga
amidachesaga :
Hali niliyonayo saiv 😭😭lkn Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
2025-04-12 09:46:34
0
jackiesnow93
Jãckie~snõw🥀🦋 :
na type na kudelete but Acha nikae kimya dada
2025-04-12 06:14:27
0
stica.chaz
stica Charlz ❤️ :
😥 omba yasikufike
2025-04-11 09:16:55
0
slm.g74
salome Gi :
🥰
2025-04-11 07:23:46
1
irenetarimo255
irenetarimo70 :
yaaani😭😭😭
2025-04-11 06:35:57
1
yvonne_2030
Ms_yvonne❤🦋 :
nataka kusave video gee imenigusa🥺
2025-04-11 16:13:42
0
To see more videos from user @gloryugocs8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About