@mc_adektatu: #princeindahwedding

MC ADEK TATU
MC ADEK TATU
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 14 April 2025 12:27:40 GMT
952723
25608
551
1065

Music

Download

Comments

brenzysuzet
Brenty❣️ :
Winnie deserves it watu walikuwa wakisema hapendwi huku tiktok💯 congratulations jaber you made your mama proud ❤️
2025-04-14 12:33:20
124
manyasi.the.gener
manyasi the general :
hiyo gharama yote then after two years hivi unasikia anaitisha divorce. ungenunua kaploti ujenge uwe landlord
2025-04-14 19:07:30
17
bebegal614e
babegal :
Bora tu hata kama n 1.2 m,,,,hainishtui juu wataipeleka tu chooni ,,,,
2025-04-17 08:29:44
0
millia.ombonyo
Millia Ombonyo :
Alafu Mimi nko na jaluo jinga hapa,kazi yake ni kuniuliza Rada
2025-04-14 18:35:33
103
nyalego_siaya
nyalego siaya :
mtu amesema adek tatu alipewa lift na gari ya catering,aol yawa😅😅😅
2025-04-14 13:53:15
26
totodamah
@Damah kamba gal❤️🥰 :
Na price indah asikufanye uone wajaluo wote wako hivo 😂😂😂😂
2025-04-15 12:39:50
26
brenda.preis7
Brenda mchelsea💙7 :
alfu kuna mm hapa wangu ni kuniuliza tu nampelekea mechi lini nkt
2025-04-15 14:32:07
6
wakinakevo001
Monalissah 🦋❣️ :
Alafu bado kuna Mimi nimetulia na mkisii😂😂💞
2025-05-29 15:09:32
1
mrsmokandu
mrsmokandu :
Nani anawatch hii na wivu kama mimi
2025-04-14 16:44:46
11
dedanowino793
Dedan....De promoter :
Ati jopesa kaka obina gini dhii migori gi helecoptar alafu Adek gini to wuok mombassa nyaka migori gi Ena coach🤣🤣
2025-04-14 12:38:31
3
silvi_5_12_
silvi_5_12_ :
wagni to amanyo jaluo🤣🤣
2025-04-14 13:56:55
3
user7738494517190
user7738494517190 :
halafu kina mimi sina hata mtu wa kuncrashia haki
2025-04-14 17:37:58
2
mollyn.otuoma
mollyn otuoma :
cake 1.2 Na ngombe 12.😂😂😂
2025-04-15 17:44:28
3
misslikoni89
miss likoni :
Kuuliza tu,,wajaluo wote wako hivi??
2025-04-16 04:08:57
3
aleky906
M Alexi💪 :
msitamani maisha ya wengine plz,,, watu wanapata pesa Kwa njia tofauti, Kuna wenye wako illuminati kumbuka
2025-04-15 13:20:16
2
user7660078490616
Golden girl :
ndo nini ifanyike people are misusing money
2025-04-15 21:05:14
1
mahihu2019
Susan Mahihu🥰 :
kuna meingine kama hiyo ama waneisha
2025-04-16 16:34:38
0
user80072760934834
mama kids :
1.2m na kuna watu wanalala bila kukula na hamwezi wazaidia
2025-04-16 05:41:01
1
nancywachira9545
Dr. Nancy👩‍⚕️👩‍⚕️ :
wale wa nataka tu mkale🤣🤣mko wapi
2025-04-15 16:34:15
1
favourite21404
favie love 😘 :
sasa itabidi nidate mjaluo kama prince indah😆😆
2025-04-14 13:42:07
4
margaret.wambua7
Miss :
I love luos all the way💪💪💪 they dnt fake.life
2025-04-14 14:28:18
1
user126813610126
Lizz Awuor :
but najua my customer anaweza bake na 50k
2025-04-14 13:05:01
6
rosemwakisese
Rose Mwaksese :
Mtu anitoe ushagoo Chang'aa itanimaliza 😅
2025-04-16 13:48:44
4
carolinecongo
Caroline Congo :
Waaaaa, this guy was ready for his big day. May this marriage last till death does them apart.
2025-04-16 15:56:12
7
To see more videos from user @mc_adektatu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About