@abuu.hannan: Suali Kwa Kila Mkristo. ~ Imaam Ibn Qayyim Al-Jawziyyah [Allaah Amrahamu] #creatorsearchinsights

Abuu Hannan
Abuu Hannan
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 April 2025 10:18:05 GMT
106527
7219
938
1023

Music

Download

Comments

kb_boy_900
nanou :
bro utapoteza mb zabure na maneno ya bure lakini wakiristo ni skio lakufa hata uambie nini hata ulete ayat watapinga we bora uache tu unatukana bure bro 🤣🤣 hawaskii hao hata kuona hawaoni 😂
2025-04-19 18:52:46
36
user8253925832625
Andrew :
kwanzaa hakuwa MUNGU bali alikuwa mwana wa MUNGU aliyee kujaa duniani kwa ajili yetu sisi kutukomboa katika dhambii na kabla hajaja kuzaliwa na kufa kwakee kulishaa tabiriwa na manabii
2025-04-19 20:18:08
12
user200635192025
shed@2006 :
Amuelewi mnachokisema mala yesu mung mala mwana wamungu amueleweki.
2025-07-15 20:04:58
0
elastoludovick
Elastoludovick :
kweli kabisa
2025-05-22 09:58:39
0
user0705053810
Mutumishi kwa wote :
Yesu ni Mungu 100/.
2025-04-20 15:10:25
2
fadhil.hero
field Marshall :
kwa hakika kuwa muislamu na kufa nao ni neema kubwa sana
2025-04-19 18:57:34
124
batulishabani978
Batuli Shabani :
sijaona hata mkiristo alie comment 🤣🤣🤣🤣
2025-04-19 20:58:16
12
user4994997188087
kemei inno :
hauwezi elewa, kila mtu na imani yake. nyinyi mkiswali kuelekea south nani aliwaambia mungu anatoka south. Mohamed ni mtu kama sisi
2025-04-20 06:16:26
2
user4075077286181
israeli 🇮🇱🇮🇱🇮🇱 :
Yesu hata kwenye Quran ni muumbaji 4:79 🤣🤣🤣
2025-04-20 14:03:56
2
vanny5606
vanny :
Yan hata msemaje nyie wafuga majini sisi pilau la leo tunaliwekea kitimoto inakuwa ni astaghafirrulah alafu tunaigonga na matuvitu vyingine inakuwa ni mashallah sasa nyie endeleeni kuleta maswala yenu
2025-04-20 06:10:16
1
user9611723979013
بنت مبارك 😍 :
wanachanganyana😂 ni mungu au mwana wa mungu!? Isomeni hiyo dini yenu vizuri muepuke kujikanyaga kanyaga,muwe na hoja zilizo nyooka. Allah awaongoze☺️
2025-05-01 15:46:44
0
user8827333125066
user8827333125066 Denis Myahud :
1Petro3-18-20. Yhn10-17-18
2025-04-19 18:24:43
0
kingya2.com
Child of God :
Wewe ndie unapaswa kujiuliza kwa nini watu wengi Sana duniani ni Wakristo,kwani wanajua nini Chenye wewe haujui ...alafu wewe nawe utake Kujua ,JUA YA KWAMBA WAKRISTO WANA AKILI TIMAMU SANA
2025-04-21 15:44:35
0
crisclement
@Crisclement🇹🇿🇹🇿 :
msomaji ni sheikh nani
2025-07-08 22:14:20
0
tandula.jr.brazil
tandula Jr Brazil :
mie nikaanza kujiuliza sura gan hii daaah kumbe shahiri
2025-04-19 18:20:37
10
motgrandson.gmail.com
DR JSM :
MNANG'ANG'ANA SANA NA HIZI DINI ZA WAZUNGU NA WAARABU!! HIVI YAWAFAIDISHA NINI HASAA!! BY THE WAY ACHENI MIVUTANO,, WW UNAYEABUDU PAHALI SAHIHI ABUDU!
2025-04-20 08:21:47
5
user379811184436
user379811184436 :
Yesu ni Mungu naukumbuke Mungu anaweza fanya chochote kukuzidi wewe uliokufa ni mwili kwa ajili yetu hila yeye alikuwa hai akichukua haki yetu kutoka
2025-04-22 17:02:25
0
user511273844649
Crescent Man :
Tusaidie jina la sura hii
2025-04-20 08:49:57
2
user2749142245600
Miss J 💋 :
Hiii n sura gan,? Na aya?
2025-04-20 11:21:28
2
user4631933663940
user4631933663940 :
aliyekufa ni yesu mwana wa Mungu nakufufuka siku ya tatu,, yesu hakukasirika Bali aliwasamehe maana hawajui walitendalo,, Mungu alikwepo na atakwapo hivyo ulimwengu haukubaki bila Munguu...
2025-04-20 00:50:47
1
abuu.hannan
Abuu Hannan :
Ndugu Zangu Si sahihi nyinyi kuwatukana Wanachokiabudu kisha ikapelekea nao kumtukana ALLAAH kwa Jeuri Pasina kujua. HILI SHAIRI LIMEKUJA KAMA SWALI MWENYE HOJA NA AJIBU KWA ADABU NA UZURI🤍
2025-04-20 14:13:57
4
user8253925832625
Andrew :
kama aliweza kufufua walio kufa aliponya wasio ona viwetee walitembeaa htaa petroo alimkata mtu sikio lakin aliliponyaa iloo sikio hakunaa ambachoo alishindwaa Bwana yesu lakini alifanya kazi yake ..
2025-04-19 20:21:18
0
carlosbrown08
Carlos Brown :
na kama Mohamed alikua mungu kwa nini aliliwa na mbwa yesu alikufa akafufuka na akarudi kwa mungu alishinda kifo
2025-04-21 16:40:25
0
drmoresby
MORESBY :
1kor1:18 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
2025-04-20 06:44:29
2
user9292056930021
kilimanjaro finest :
hakukasirishwa na yale waliomtendea ndo maana aliwaombea msamaha kwa Mungu,kile kilichotokea kilitokea kwa kusudi la Mungu
2025-04-20 10:00:57
0
To see more videos from user @abuu.hannan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About