@yacnalhaythamiy: subra ni kila kitu kwenye maisha yetu onaa Ukiwa na subra utakua na hekma katika mambo yako Ukiwa na subra utakua na ukarimu na upole Ukiwana subra Allah atakupenda na viumbe vyake Ukiwa na subra Allah atasimamia mambo yako Ukiwa na subra Allah atakulipa malipo yasio na kifani Haijalishi unapitia nini kwenye maisha yako fanya subra sawa ee!! Ukiwa na maradhi ya muda mrefu muombe dua Allah akuponye na fanya subra Ukiwa hujapata ndoa zidisha dua na kua na subra Ukiwa unahitaji mtoto zidisha dua kua na subra Ukiwa na huzni stress kua na subra zote zitaisha Subra subra subra shikamana na subra usiiache subra sawa ee!!