@moodewji1: Leo ni siku ya kipekee katika historia ya klabu yetu - nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, hapa nyumbani kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Tumefika mbali, lakini safari bado inaendelea. Mbele yetu kuna nafasi ya kuingia fainali na kuiweka Simba kwenye ramani ya soka la Afrika kwa kiwango cha juu kabisa. Nimewahi kutembelea Stellenbosch na ninawaheshimu sana kama wapinzani. Lakini ninajua nguvu ya Simba. Juzi nilizungumza na wachezaji wetu kupitia Zoom, niliwaambia wanayo nafasi ya kuandika historia mpya. Niliwaona wakiwa na ari, umoja, na kiu ya mafanikio. Hii ni timu yenye moyo wa ushindi. Safari haijakuwa rahisi. Tulianza msimu huu tukiwa na uso mpya - wachezaji wapya, kocha mpya, benchi la ufundi jipya, na mwelekeo mpya. Lakini tumekabiliana na kila changamoto na tumevuka. Leo ni siku ya kupambana tena. Chezeni kwa moyo, kwa ujasiri, na kwa kujiamini. Hii ni nafasi ya kuweka alama isiyofutika katika historia ya klabu yetu. 📌HATUISHII HAPA #Simba #Nguvumoja —President Simba SC Mohammed Dewji
Mo
Region: TZ
Sunday 20 April 2025 09:45:32 GMT
Music
Download
Comments
pablomason bright :
Simba nguvu moja✊❤️
2025-04-20 09:48:14
2
biklits :
Big up Simba Players,we do trust on them no matter what,we have a chance to bring the cup in Tz,let them do it,congrats Mpanzu,Kibu,Ahoua etc
2025-04-23 18:08:27
0
official raphaer :
tajiri nina shida na elfu 50 tu nijaze mtungi wa ges hal ni ngumu sana
2025-04-20 09:51:57
0
kenny" :
Tunajivunia,,Tunakuhitaji,Tunakuombea🤲🤲🙏
2025-05-10 09:07:25
0
chebi Abdallah :
Simab nguvu moj mo axant xan kwa kuipenda simb uendelee kuipend simb milele Simba nguv moja💪💪
2025-08-01 06:30:21
0
millardrockinhojr :
Tajiri mwenyewe 🦁🦁🦁💯💯
2025-04-20 09:53:32
0
koyesa. :
mungu ibarki simba ishinde leo
2025-04-20 09:48:41
0
🌸sophia🎀🇹🇿🇰🇷🌸 :
🦁🦁💪nguvu moja♥️
2025-04-20 09:53:21
0
tweveog :
tunakupenda
2025-04-27 16:16:23
0
Daudi... :
hauna baya tajir
2025-04-20 10:59:46
0
Migo braw✅ :
Thank you for the great contribution. I pray that Simba will be very fearsome and that the players will be of the same level.
2025-04-22 20:33:20
1
tajili wa mawazo lupilya 💐🙏 :
💯❤️💪 mungu awalinde wachezaji wetu maana kuna timu zimetumwa na yanga ilikuumiza wachezaji wetu
2025-04-30 13:59:02
0
burian :
kiongoz mwenye maono Africa
2025-04-23 18:39:01
0
user05179179498 :
simbaa nguv mojaa
2025-04-20 09:49:56
0
marry basha :
I hope you see my comment and reply to it. This is my email. Please help me. Consider me your sister.
2025-05-04 19:21:27
1
나한테 전화해줘 자기야 :
🥰
2025-10-07 01:34:35
0
Salim Mohammed :
😂
2025-10-05 21:34:40
0
123555d :
🥰
2025-08-02 14:20:38
0
123555d :
😍
2025-08-02 14:20:55
0
123555d :
🥰🥰🥰
2025-08-02 14:20:36
0
123555d :
🥰
2025-08-02 14:20:56
0
F.A :
😁
2025-07-15 16:14:40
0
F.A :
🥰
2025-07-15 16:14:40
0
Suleiman Canal :
👍
2025-07-10 06:33:13
0
Suleiman Canal :
😂
2025-07-10 06:33:14
0
To see more videos from user @moodewji1, please go to the Tikwm
homepage.