@monsuly2: 💔❤️🩹😣Hivi ishawahi kukuta hii, Yaani unajua kabisa siku hizi hakupendi, Unajua kabisa huyu si wako tena , Unatamani kuachana nae, Lakini Akili na Moyo vinashirikiana, Akili inamuwaza yeye, Moyo unampenda yeye aaaah 🥹🙌🏾💔❤️🩹
Monsuly
Region: TZ
Tuesday 22 April 2025 17:17:49 GMT
Music
Download
Comments
Ester Charles :
Sim zangu hapokei na hajibu sms zangu nalia mda wote maumivu ni makali nataman kuhama mkoa na nipo kazn nataman niache kaz
2025-04-24 19:31:24
46
Lizzy650 :
hugs to anyone going through the situation 🥺
2025-04-22 18:50:45
170
Jasmine heavens🇨🇩🇺🇬🥰 :
I need a hug guys 😭
2025-07-20 19:25:06
0
miss_happy💦💞 :
nd nik kwa situation hiyo mm😭😭
2025-04-23 11:18:09
17
chitoto32 :
ndio kaka ndio hii hali ninayo hadi now yani natamani nimove on lakini nashangaa why siwezi ila anantesa sana 😭😭😭😭
2025-04-24 18:36:20
19
tannah💋💫 :
now ananiambia am not perfect girl 👀
2025-04-22 20:15:13
25
Sia kimaro :
acheni ujinga mapenz sio maisha tafuteni furaha yenu😂😂😂 watu mnateseka sana
2025-04-30 11:26:54
13
😘THEE MAYA FAMILY4📌 :
iyo ndio hali ninayo ipitia adi nilibadilisha dini kwa ajili yake yeye from being a Christian to a Muslim bcoz of a man i really regret alot
2025-04-23 06:12:16
21
Angel👸 :
da mapenz shule sasa kwan mapenz ni kit gan mbona sielew
2025-07-20 19:10:56
0
💗ë💗m💗m💗ã💗h💗 :
ni ngumu ninazo sky tatu silali nalia tu
2025-05-04 12:35:45
2
Minah_baby :
hii hali nimepitia now inaishia aki unaweza tamani ujitue kitanzi
2025-04-23 04:30:54
12
chimamy goa :
mimi sijaolewa
2025-04-23 09:42:52
4
lajoie 💞💋 :
ndo mimi kwa sasa💔💔💔💔💔😭😭
2025-04-23 15:52:38
4
Ashfayn Islam :
😭😭😭 daah alaf anakuuliz unatakaj fany mamb yak ukiangalia unampend kil ukijitahid unashindw kulia maumiv mpak mud huu sielew navumilia najikut nach
2025-04-23 09:44:36
11
Fort :
Hua naumia then Namshukur Mungu ni mwepes kuachili
2025-04-25 20:40:26
7
Lilian :
my current situation
2025-04-22 18:40:22
5
🤍lizydede💦 :
nashkulu mungu nilivuka salam bila kujiwa🥺 jpo bdo nikikumbuka napat maumiv😫💔🥺
2025-04-23 06:05:58
16
ummy.pina❤ :
ni mm hapa
2025-04-22 17:42:08
1
Najlikhan :
Mbona Kama unasema k2 ambacho niko nacho kwasasa😭
2025-07-08 17:41:05
3
martha revocatus :
naumia sana jana kaenda kwao kuoa ajasema naambiwa na watu 😭😭😭😭😭
2025-04-23 05:25:27
52
love :
dah kama umenitolea mm hii video jmn 😥😭😭
2025-04-22 20:52:25
10
muhadaramadhani :
nikwel ilisha wai kunikuta ilo nikweli yn d inauma sn
2025-04-23 20:00:16
1
Elaiza❤ :
kaka naomba unicheki plz nina tatizo siwrzi litatue plz naumia sana plz nicheki
2025-04-25 22:56:00
1
nipher 💕 :
ndo napitia now ila soon nitavuka🤣🤣🤣🤣
2025-04-22 18:32:45
36
salmasalum34 :
ndio moyo unauma sana 💔💔😡😡😭😭
2025-04-22 17:54:49
9
To see more videos from user @monsuly2, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.