Mgongo wa Mama ndio nini sijaelewa mimi.?
Anae jua anieleweshe tafadhali.
2025-04-23 21:13:56
2
Abdinasir Hussein :
asallam alykum sheikh wangu mselemu Allah akuhifadhi na atuhifadhi sisi sote🙏🙏🙏
2025-04-23 11:43:07
55
yusufismailali :
1. Meneno gani alisema mwanamke kwa kutikishika midomo yake ambayo allan aliyasikia.
2. mwanamke kuendelea kuswali alifanya au hakufanya kosa.
3. Nini hatima ya kisa hili baada mwenyezi mungu kuyasikia meneno hayo.
4 utaratibu gani ulishuka juu ya jambo hili baada ya huku ya mtume.
2025-06-23 04:06:23
0
134567788999tzke :
ukute mtume hakumuacha
2025-04-24 12:13:32
1
BULLET :
mzee nifundishe quran ila sna ela she
2025-04-29 05:32:58
1
Lil liker Tz :
Allah akuhifadhi sheikh wangu
2025-04-23 08:10:03
21
Ali Mwazani :
mashaallah ila sijaelewa jawabu hakika shukran
2025-04-23 12:37:21
0
abuu :
Allah akuzidishie ilimu shelk
2025-04-24 18:39:56
1
manswab7 :
Vp .wenye Ezimungu alihukumu vp
2025-06-03 06:05:23
0
MHaSa.bin Hamad :
Allah atuongoze Amin 🤲
2025-04-23 09:08:49
21
ALLY RASHIDI :
allah akulinde shehe wetu uendelee kutupatia faida
2025-04-23 12:27:57
8
Nouhu Kandege :
Assalam alaykum shekhewetu Allah akupe taquwa pia nasisi ktk kufikisha kalimatu ya la ilah illa llah atuepushe na riaa kiukweri unajuwa shekhewetu Allah akuhifadhi na Shari za viumbe wake na atupe sote mwisho mwema
2025-04-23 20:23:16
12
SS#%@@M :
Allah akulipe kwa mafunzo
2025-04-23 08:31:20
11
Pharells05 :
shekh nakuombea msamaha kw Allah !! akupe umri mrefu pia na msamaha wake
2025-04-23 17:06:11
5
Better late than never :
S.A.W
2025-04-23 19:22:32
6
Bin Hamza :
bismillah mashaallah.huyu sheikh akizungumza hutamani amalize.maneno yake yamejaa hekima na mafunzo mengi sana.shukran sana
2025-04-24 06:57:28
3
user45680319366883 :
asalam Aleikum namkubar sana mwalimu watu NAWAOMBEN MWENYE NUMBER YA SHEIKH NISAIDIENI MUNGU ATAWALIPA
2025-04-24 12:18:47
7
Yasser Arafat :
Maasha Allah anatoa mawaidha kwasaut yabusara sana kiukwel mselem anajua san
2025-04-23 21:28:04
4
Ali Mahmoud :
Ni sura peke yake ambayo kila aya ina jina la Mwenyezi Mungu
2025-04-24 14:17:13
3
Mussa Magomba :
ALLA AKULINDE INN SHA ALLAH
2025-04-25 22:27:02
6
sosk :
huo ndio umuhim wa kujua nafac yako
2025-04-27 05:35:09
3
A Fadhili :
Sheikh MwenyeziMungu akuzidishie umr na afya njema uzidi kutuelimisha
2025-05-10 14:04:07
2
HUSSEIN ALLY✍️ :
Ewe Mola wangu!
Nikubalie Toba yangu,mimi na marafiki zangu
na uyafute Madhambi
yangu mimi na malafiki zangu na unijibu
Maombi yetu.🙏
2025-05-11 22:01:08
1
ladyhoney :
Allah akuhifadhi wewe na sisi, katika mashekhe wengi nnaowaskiliza huyu yananiingia khaswaaa, nampenda sana.
2025-04-28 08:23:04
1
Abdulijuma80 :
A alakum kiongozi wangu
2025-04-23 08:19:41
4
To see more videos from user @hemedjumaa, please go to the Tikwm
homepage.