@makinitv: SERIKALI HAIINGILII MKATABA WOWOTE WA MTU ISIPOKUWA WA NDOA PEKEE -PROF. KABUDI Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwasilisha mada kuhusu Usimamizi wa Misingi ya Kitaifa inayojumuisha (Maadili, Miiko, Umoja, Mshikamano na Uzalendo) kupitia sekta ya Utamaduni, Sanaa, na Michezo kwenye sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, katika Kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania, Aprili 23 jijini Dar es Salaam. " Serikali inahusika na mkataba wa ndoa moja kwa moja, ndio mkataba pekee ambao Serikali inausimamia, kwasababu familia ndio msingi wa raia wa taifa, na hao raia ndio wanakua viongozi, askari wazalendo, na ndio maana serikali inaingilia mkataba huo" amesisitiza prof. Kabudi Kikao hiki cha mafundo na mazingativu kinafanyia katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makinitv
Region: TZ
Friday 25 April 2025 10:49:09 GMT
Music
Download
Comments
RobertHamis :
sasa ndoa
2025-04-29 06:45:54
0
barakajackson72 :
❤❤❤
2025-04-27 05:50:35
0
To see more videos from user @makinitv, please go to the Tikwm
homepage.