@hearing.gods.voice: Kama hujui kuomba, anza kwa kufanya hivi! #playlistk#kuombad#dhambit#tobas#serviceb#bibliap#pastortonykapolat#tiktokchurchk#kenyantiktokt#tanzaniatiktokt#tiktokugandaI#ImaniM#MsamahaG#Godk#kusalin#nyakatiz#kuomba
kuna ile sala iliyokutwa kwenye kabur la yesu
ile sala ipewe ulinzi aiseee ukisali na baba yetu×3 salam maria ×3 Atukuzwe ×3
2025-04-28 12:42:47
116
vivaviva :
zaburi 51
zaburi 138
zaburi 23
2025-04-28 08:46:12
328
mwaisa kajuna :
ubarikiwe mtumishi wa mungu
2025-06-26 22:07:48
0
Neema njige :
🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe sana mimi nilikuwa sijuwi kusoma biblia wala kuomba lakini toka niaze kukufatilia mwezi wa 2 paka sasa najuwa kuomba nakusoma biblia na kuamka saa tisa MUNGU AKUTUZE MILELE yote 🥰
2025-04-28 06:25:22
187
The loyal one🤩🤩 :
zaburi in English please
2025-04-28 22:08:52
30
Nash Lady :
my midnight prayers ever 🙏🙏🙏
psalms 51
psalms 35
psalms 91
psalms 23
then night quote 🙏
2025-04-28 20:24:09
84
@Smum*? :
broo umekosea ..mtu hutakiwi kuchoka kusali....
2025-04-29 04:41:06
6
migambimaan‼️ :
please help me kupungukiwa in English I don't know much in swahili
2025-04-29 01:09:51
8
Happy Shine :
kupitia apostle huyu nitaijua bible unanifundisha vzr sana be blessed appstle🙏
2025-06-26 13:40:14
1
.........👸 :
kwanini uchoke kuomba 😭 msichoke kuomba mtu unapo karibia Mahali utakapo lzm uchoke🙄
2025-04-28 06:40:18
31
chacha doreen :
ameen
2025-06-28 21:03:22
1
my True Friend Is God 💃🔥❤️🙏 :
Ameeen and Ameeen barikiwa mtumishi wa Mungu
2025-05-05 18:55:13
3
Mimi dollars 🦋🌹❤️ :
apostle
2025-04-28 09:18:28
3
iam jenny🦋 :
eeh mungu naomba baraka zako zikamfurike huyu kaka popote aendapo..mtimizie Kila haja ya moyo wake ...kibali chako kikamfurike na kizazi chake na familia yake kwa ma'an amefunua neno lako kweny mylife
2025-05-11 11:40:58
3
Francine Mwanvuwa :
MUNGU akulinde Na akupe maisha marefu kaka ubarikiwe sana
2025-06-21 01:30:15
3
Gmalanice6 Nice :
Amen ubarikiwe sana
2025-06-27 20:16:45
1
Maggie korir🇰🇪🇰🇪 :
Amen Amen nitaanza leo
2025-04-28 09:33:20
6
official Naila🥰 :
Kumbe ndomaana Haleluya challeng tuliambiwa tuwe na notebook na bible
2025-04-28 17:13:57
7
magemalley :
zaburi 23,, ctoisahau ktk maisha yangu imenitoa mbali sana
2025-04-28 20:34:02
11
malta :
Amina,Amina tena
2025-04-28 13:51:48
9
Asmorgan🥰🥰😍😍 :
jamani nauliza n app gani y Bible naeza download niwenikisoma
2025-04-28 20:11:06
1
Tony255🇹🇿 :
Amen
2025-04-28 13:05:41
2
maombi :
Mungu akongezeye maarifa
2025-04-29 10:50:02
1
user4673814245031yvonne khalay :
amen nitaanza leo🙏
2025-04-28 09:47:06
1
Rose :
naomba mtu alike please 🙏🙏
2025-04-29 16:29:32
16
To see more videos from user @hearing.gods.voice, please go to the Tikwm
homepage.