lakini hawawezi lingana waliosoma dini na ambao hawakusoma dini kitabia, wengi waliosoma dini wanatabia nzuri na wengi ambao hawakusoma dini tabia zao mbovu
2025-04-29 06:25:04
12
nasrahsaeedy8 :
haiwezekani aliesoma na asie soma wewe sawa.
2025-05-27 20:14:27
4
habibty❤ :
hawawezi kufanana alosoma Dini Na asiyosoma utaijuaje Dini bila ya kusoma utaijuaje kufata Na kutofaya Ni mengine
2025-04-28 14:12:04
4
Msafiri Mohamed :
A.Alaykum na me nasema hapo sheikh kuna tofauti kubwa kat ya dini na uchamungu hauwezi kuihua dini kama haujasoma ila huwezi kuwa mchamungu mpaka utekeleze kila kinacho takiwa kutekelezwa naujiepushe nakila kinachotakiwa kuepukwa...
2025-05-20 12:55:23
2
AMK :
Huwezi kuwa na Dini kama hujaisoma, Moja kati ya Sifa Nne za kuchagua Mke ni Dini, Kutafuta Elimu ni Faradhi kwa Mke na Mume USITUCHANGANYE...!!!
2025-04-28 17:17:33
6
The BORA :
niulizeni mimi yalinikuta. 😭
2025-04-30 09:50:53
5
Ratifa15 :
Na ndio maana mwenyezi Mungu amesema mcha Mungu anamjua yeye sio sisi wanadamu
2025-04-28 17:58:38
10
fdj122345556654466 :
LAKINI UBAYA WAKE SIO WA ASIE KUWA NA ELIMU YA DINI
2025-05-01 14:33:50
1
Jesus Christ. :
acha kutafuta umaarufu aliesoma kaosoma tu hata ukimuona anafanya maovu ila kuna asilimia kubwa kuja kuacha coz anajua anachofanya
2025-05-12 12:10:03
1
🌹g :
mwenyezi munguu atuujalie tuisome dini na tuyafuate mafundisho ya dini
2025-06-22 19:30:05
1
user7873940783744 :
sadakta ahkii nemekuelewa sana baraka allahu fik
2025-04-30 17:48:45
2
AMIN KENYA SAFARIS :
Kweli kabisa maneno Yako Mimi na juwa Masheikh kadha balaaa tu mambo yao😳
2025-04-29 03:31:08
2
unknown :
kweli
2025-04-28 15:28:31
3
bassam :
umesema kweli
2025-04-28 11:58:23
4
Babukaka :
hakika shekh umesema sahihi allah akulipe kheri
2025-05-02 19:07:43
2
amisahussein :
kama Hawa mashekh nimaonjaonja tu ndoa hazina ukweli
2025-04-30 08:14:51
1
🇹🇿Zahraa 🥰 :
Na ndio maana Mtume ﷺ katwambia tuchague Dini na Akhlaaq manake dini pekee haitoshelezi kua kigezo
2025-04-29 10:11:38
1
kunajoto001 :
mtu amehifadhi Quran lakini wazazi wake wanamuogopa kwa maneno yake machafu. HATARI SANA KWA JAMII. MUNGU TUSAIDIE
2025-04-28 14:46:40
1
Amir Shaheed :
Ujumbe umewafkia wanafik
2025-04-28 14:27:34
3
Athuman Athuman :
kweli kabisa.
2025-04-29 09:38:50
1
Amri Juma :
kweli kabisa nimeyaona mwenyewe leo nimepata jawabu
2025-04-28 15:50:37
1
ishaka Khamis :
kabisa
2025-04-28 15:10:27
2
Niffer🦋 :
Hakika Akhy 🥰
2025-04-30 08:41:45
1
Swafah Jamal :
Ni kweli kabisa sheikh 💯💯💯💯💯
2025-04-30 05:52:41
1
jumafikirini :
huna jipya kaka.
2025-04-29 06:18:26
1
To see more videos from user @akhy_ayyub, please go to the Tikwm
homepage.