@monsuly2: Nimeongea sana, Katika hii video na hii video iwafikie watu ambao wanatabia kama za hawa watu , Vijana mliopo Vyuoni msijisahau sana , Kumbukeni hari za uchumi wa nyumbani kwenu, Jifunzeni na mkiamini kuwa utakapokesa kumdhalilisha mtu iyoo sio kesi yako Tena ni kesi ya Selikali na mtuhumiwa . Kama unahitaji Taa za kisasa za Majumbani na Officin, B LIGHTING wapo tayari kukuletea popote hata kufunga pia Taa ndani mwako wapo tayari Wanapatikana Kariakoo, Narungombe na Swahili wapigie kwa no +255 792 333 102