@monsuly2: Hili swali nilikutana nalo uko Facebook 😅 Bado kidgo nishindwe kulijibu 😂😂😂 Aya kazi kwako sasa Jibu lako la manati nataka kuliona 😁😁 @Barcelonatz ni mahodari was kuuza Viwanja vya makazi na Biashara, Pia wanauza Nyumba mpya za kisasa kuanzia Milion 200 hadi Bilion moja (+255 750 300 300 au +255 7142 405 500)
Wale Tuliokimbilia Comment Na Hatujaelewa Gonga Like Hapoo🤣
2025-05-03 02:29:17
178
lutex_kid :
mm sijui labda mavi yananuka kaona knyaaaa
2025-05-01 17:09:35
40
hassanwajugo :
hiko choo ni choo chetu cha shule bhn na hii story niyakweli sema kile choo kilikuwa kichafu sana ilikuwa zamu ya achochi na hakudeki
2025-06-30 18:05:40
5
natorius55 @ :
katika kushambulia chui lzm atatumia energy ambapo iyo energy itakayo tumika itabidi irudi mara mbili yake na ukiangalia mbwa ni mdogo so hataweza kureplace energy ambapo work done inakuwa zero 😆😆
2025-05-05 21:59:02
25
kimlee🧸💎 :
baada ya chui kuingia chooni kupitia dirishan alidondoka akang’oka meno so 😂😂😂 atoweka kumshambulia baada ya kuwa kibogoyo😁
2025-06-28 19:44:46
1
yazidy :
amechomwa na bomb la kuflash
2025-06-04 10:23:08
6
Demon sun 🇮🇳🇮🇳 :
kama umeona chui kachomwa na mti gonga like hapa
2025-06-02 05:14:51
11
lodvick sautie :
alivyotua, alitua kwenye chuma na akajeruhiwa, na pia chui kajeruhiwa na chuma ambayo ipo pembeni yake
2025-05-04 05:29:39
8
Najid codes 12 :
Hilo swal rayvanny ndo anawezah kutujibu
2025-06-04 20:40:45
4
usermpanzzzzu :
kwasababu akiwa nje anamweshimu lakn wakiwa ndan wanaendelea ili watu wa nje wasijue kama wanaugonvi pia follow me
2025-06-08 07:48:04
3
@KING KAKA. :
tuliokimbilia kusoma coment tujuanee🤣🤣🤣
2025-06-24 11:45:31
5
fortune❤️🦋 :
😂😂ameona kwasababu mlango umefungwa ko hawez kutoka ndan ko hata akimla mbwa bado tu atafia mule ndan ko bora yeye na mbwa wabaki wafe pamoja🙄
2025-07-16 09:59:49
1
4"Bad oxygen"5💀💀💀💀 :
kw mm naon chui kamuwek mbwa km hakiba tu man hajuh hatatok lin hapo choon😎😎😎
2025-06-05 11:21:35
4
laq lizla mc :
kwani chui , wenyew anasemaje😁😁
2025-05-05 18:00:42
13
Christopher Patrick :
chui huyo ni muislam kwahivi haruhusiwi kula chooni
2025-06-09 07:59:50
2
Super ton :
kwa sababu maji akuna
2025-07-12 06:57:47
1
Ibraah John :
follow me
2025-06-05 13:40:11
3
Thostema :
anamsubili mtu atakaye jipendekeza
2025-06-08 20:01:53
4
Jojooh💞 :
kwasababu hata akimshambulia mbwa atatoka vipi uko chooni ndo maana akaamua kumuacha tu
2025-06-09 19:42:37
3
arafatkhalifa :
Kwasabab wanyama walao nyam hawalani, ila hap Kam angekuw mbuz badal ya mbwa chui angesem nae mapam xna
2025-06-10 14:17:06
2
Mike Amir_ 520# :
ibilisi alimpanda sas angefany nin 😂😂
2025-05-01 17:46:36
9
Dash body :
kwasababu uyo chui kama kachomwa kitu
2025-07-12 20:00:13
1
🦋regkhaan💋💋 :
Chooni pachafu chui kaona kinyaa kumla mbwa😂😂😂😂
2025-05-25 18:36:56
6
Fisco Mc :
Kwakuwa so kira kitu razim ukiipate kwa wakta inabid uwe na subira ndo man chui Ali vuta subira hakuwa na haraka
2025-05-31 12:06:24
3
To see more videos from user @monsuly2, please go to the Tikwm
homepage.