@machinoocomedy: Tazama jinsi jamaa alivyoenda kuoga usiku usiku na alivyokutana uso kwa uso na mzimu utacheka sana #creatorsearchinsights #machinoocomed #machinoo #trendingvideo #fyp›° #trendin #trendin #fylp #videos #tiktok #nostalgia #nostalgia #tik_tok #trendingvideo #fylp: #tik_tok #trendingvideo #funnymoments #funny #viral _video_tiktok #tanza #tanzania #keny #kenyantiktok=E @Chaiza @Lava Lava #humortiktok #humor #trendingvideo #pastor #horro #night #funnyvideos #fyp #fyppppppppppppppppppppp #tiktoktanzania #usiku #mesha #night #ghostface #bongo #tiktokkenya #vira #horrorstory #movie #makaburi #moviezakutisha #horrormovie #trendingvideos @fety💋💋💥 @Catherine Njoki
MACHINOO COMEDY
Region: TZ
Saturday 03 May 2025 18:44:27 GMT
Music
Download
Comments
Happy Mbwambo :
hahahahahahahaha
2025-08-01 16:06:49
1
Sarafina Adamson :
ahahahaha
2025-07-30 21:18:06
1
Mamake Isaac na Sophie :
Ila TikTok raha sana we kama unastres ingia humu tu🤣mchawi bando tu🤣🤣🤣🤣
2025-05-05 11:31:29
12
Halfan 💰📉💶💷 :
hiyo ni hatar
2025-06-05 16:04:37
1
Prince :
walio muangalia muenda choon rang tujuane
2025-07-27 18:24:27
2
naah joh8 :
jini kama jini katika nguo zake za Saida karoli😄😄
2025-05-14 14:28:22
3
Munawara :
Kabla ya kichekosho chenyewe sauti tu nshaanza kucheka😂😂😂😂
2025-05-05 17:34:12
17
perfect :
furaha badolako2
2025-06-02 12:15:35
2
@angel 🥰 :
nmepoteza Kuni zang mbili🤣
2025-05-06 17:33:05
6
Judithy abdallah :
mmh unavituko😂😂😂
2025-07-28 07:14:10
1
Itham47 :
😂😂wale wa kuoga ucku wa manane,mambo🤣🤣🤣🤣
2025-05-05 12:27:05
5
Fety 💋🌹🥀 :
Jini anamiuno ya uzaz 😂😂😂
2025-05-03 18:47:45
94
Rehema Nkalami :
😜umetisha
2025-06-11 18:08:37
1
Queen of sound :
jini anacheza🤣🤣
2025-06-17 12:27:23
1
katungu leoni kilasi :
kkkk
2025-06-16 19:52:09
2
elisha :
like
2025-06-04 19:30:47
3
Zuhura Khani555 :
we kaka hatari nimeona niingie kabisa kwenye faili lako
2025-05-31 11:54:06
10
user6332806161209linah :
nakukubali sana
2025-06-29 17:46:19
2
Babies joha :
jini ana cheza kuna ya mond🤣🤣🤣
2025-05-07 12:22:33
3
HamocleverTz :
kwaiyo hakunya tena😂😂😂
2025-06-30 14:25:40
6
mauapeter :
baada yahapo haja imeenda wap🤣🤣
2025-05-16 21:36:14
4
Zahara Mussa :
miguu imekomaa goti langu😂😂😂😂😂
2025-05-04 12:52:13
7
Shani Nobert :
mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-18 06:26:01
1
Miriam Muhini :
nakupenda wewe una nichekeshaka sana mupaka na mimi naongopa kutembeya usiku
2025-06-05 07:31:48
2
official pacha_001 :
nimecheka sana 😂😂😂ila nyie muwe mna TU like
2025-05-04 15:58:03
4
To see more videos from user @machinoocomedy, please go to the Tikwm
homepage.