umenipa moyo mana huyo likuwa staki tuwe nae huko akhera from bottom of my heart...nipate wa akhera sasa😂
2025-05-05 07:56:18
3
Mtu mzito :
mbona nliwahi kusikia yule aliyeishi nae kwa wema zaidi ndo atakua nae peponi? Nauliza tu nipate faida
2025-05-04 12:29:59
9
Zainab Mohamed :
Subhanallah Walhamdulliah ndio maana tunaambiwa umuangalie vizuuri atakaekuoa na umridhie ili Allah akija akisema
أدخلوا الجنة أنتم وأزواجکم تحبرون
ingie peponi nyinyi na wenza wenu mutafurahishwa humo
Ya Allah niruzuku yule ambae atakua ni asbaab ya kuingia katika Jannah yako
2025-06-03 16:36:20
0
lady p :
yn nikaingia hko peponi bora hyo marehemu mume wangu kuliko hyo mtalaka siingii naeeeew naakae hko mbali na mm aahkh
2025-05-04 14:14:24
3
Nachu♐ :
mmh kama ni hivyo mm sitaki🤣🤣
2025-05-04 18:12:06
3
🥰mrs Hanafi🇹🇿 :
n je km mume alikufa akuolewa tena n mwengine mpk kifo kikamfikia itkuwa pia n wk w pepon ama nvp naomba kujua
2025-05-04 17:20:53
1
@HUSNAMUHIJJA :
hiyo mume mpaka awe ameishi nawe vizuri na ww kuoshi nae vyema na Allah akaridhia muingie nyite peponi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2025-05-04 15:01:42
9
Nasreen234 :
sahihi kabisa
2025-05-05 15:14:39
1
Sweet Hellyyy🌹 :
Shekhe kama nihvyo sitaki kuolewa tena mm nataka niwe namume wangu wa 1 huko peponi
2025-05-04 20:13:21
0
user8972112057123 :
kama ni hivyo nikifa nitamwambia mke wangu asiolewe ili niwe naye peponi
2025-05-05 19:48:45
0
Simple Tasty Ideas :
Siiolewi tena Allah Anijalie.niish na wangu wa kwanza.lupaata kamka yeye siku hozi sioni.Allah Atujalie kupata Jannat
2025-05-04 19:13:20
3
FADYA MANSOOR 786 :
Afadhali maana wa mwanzo hatuwataki😁 walal'Aakhiratu khairun laka minal ula💕🥰
2025-05-05 08:48:03
2
BILL GATES :
aaaa cjapenda
2025-05-04 15:47:59
2
samorai :
mi nilisikia mume wa mwanzo ndo ataingia nae peponi
2025-05-04 14:28:46
6
user1041483317631 :
dooh sa itakuaje, km wa mwanzo ndio ulimpenda zaid.
2025-05-04 16:17:16
3
Da Zuu :
yaan mimi mwenzen km ntampata bora zaid wa peponi ndo uyo haswa wa ndoto zangu nnaemtaka😎
2025-05-04 18:01:06
1
sinthiyaalmasi :
yani nimzurumu mume wangu kipenzi nilieanza nae maisha????
2025-05-07 07:28:33
1
aunty bimu :
kwaiyo mume jee atapata mkegani
2025-05-06 18:19:29
1
Thabit saeed :
Sheikh yupo sahihi mana huyu Mme wa pili au wa mwisho pia ukiishi nae Kwa wema na Amani kipi kitakuzuia usiishi nae peponi?
2025-05-04 18:50:49
1
Maisarah Mvamila :
hata akiwa muovu? mashekhe nyie bwana
2025-05-04 16:49:15
2
shumtastefood_bites :
sio kweli
2025-05-04 15:48:08
1
Ismail Tarimo :
kwaiyo ata kama ni muovu ataingia peponi?
2025-05-05 13:59:22
0
Mumy Intysar :
MM NIMESHUKURU ALHAMDULILAHI
2025-05-05 12:43:25
0
hatun kitchen :
hivi si ww mwenyewe utaambiwa uchague yule unaemtaka kati ya hao wawili
2025-05-05 07:09:37
0
To see more videos from user @imanitv_tz, please go to the Tikwm
homepage.