@neemagospelchoir: 𝐍𝐈𝐊𝐔𝐑𝐄𝐉𝐄𝐒𝐇𝐄𝐄 𝐁𝐲 𝐍𝐞𝐞𝐦𝐚 𝐆𝐨𝐬𝐩𝐞𝐥 𝐂𝐡𝐨𝐢𝐫 - Unaweza kuupigia kura wimbo huu ambao umechanguliwa katika category nyingi zaidi kuliko nyimbo zote katika TUZO ZA MUZIKI WA INJILI TANZANIA - TGMA. 🗳️*TUPIGIE KURA YAKO SASA*! 👌 ✅1. *Nikurejeshee* - Wimbo Bora wa Muziki wa Injili wa Mwaka ✅2. *Nikurejeshee* - Wimbo Bora wa Sifa wa Muziki wa Injili wa Mwaka. ✅3. *Nikurejeshee* - Video Bora ya Muziki wa Injili wa Mwaka ✅4. @herman_mchome_ (NIKUREJESHEE) - Mtunzi Bora wa Muziki wa Injili wa Mwaka ✅5. @amigojohnson (NIKUREJESHEE) - Mtayarishaji Bora wa Video ya Muziki wa Injili wa Mwaka. *MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KUTUPIGIA KURA.*🙏🏽 (Haya si Mashindano, Bali ni kutoa heshima na kutambua kazi ya injili katika vipawa hivi) #Nikurejeshee #tanzaniagospelmusicawards #tanzaniagospelmusicawards2025 #neemagospelchoir