heey Rakeeri
I want to try wigs for the very first time,,but siko sure which one I should try first
2025-05-06 11:08:43
12
GIGI🍂 :
hio material ya hio nguo ni gani rakeeri
2025-05-06 11:41:28
2
susankei :
which is the best wig ya kungaria ukiwa na dready zenye si refu Sana?
2025-07-14 05:36:24
0
Kyle kylie :
Helloo . I want someone to brand my Aprons. Pls refer to your artist🙏
2025-05-06 12:33:23
1
JOSIEJUMA254 :
huwa natamani kuvaa wigs but nkikumbuka hairline yangu inaanzia kwa macho,,sijui wig yenyewe itaanzia kwa mapua💔💔💔😂😂😂
2025-05-08 10:41:32
5
Dota of The lake :
RAKERI please mm ni fundi wa rangi lakini sjakuwa job for some time now. Niko na mtoto shule pia. Aki please ni postie tu nipate ata kama ni siku moja. Page yangu kuna videos ya kazi nmefanya🥺🥺
2025-05-06 15:50:22
0
brendaachieng653 :
💕💕You have a good heart May God bless your work 🙏siku moja nitakutembelea ata mm ningarie🥰
2025-05-06 11:09:05
1
Betty tet :
mimi nataka hii nguo tag me
2025-05-06 22:06:47
2
Esther❤️ :
Rakeeri Mimi ni wama dreadi na sikosangi hii shule yako
nataka Tu apron
2025-07-17 10:54:58
0
Kairetu ka Gatanga 🇰🇪🇬🇧 :
unakuanga which days? I want to buy one for my mum
2025-05-07 07:24:21
0
sonnie :
na sura ya kazi😅
2025-05-06 13:08:12
0
njokilucy :
may my mom live long ,,,by the time napata doo nimlete Huku ajichagulie🥰
2025-05-07 04:48:04
0
shallyola2285 :
rakeeri umetafuta majorly ziko na kipara kama wewe
2025-05-06 12:21:41
3
Winy N :
Mimi SI mtu wa Wigs bt napenda tu vile wewe uelezea be blessed Mom 😍😍😍💗💗
2025-05-06 12:00:49
5
Judy Mwash :
ningekua na mwalimu kama wwe kwa class..nko sure cngekua hapa😂
2025-05-06 16:23:02
0
azizmwanzi :
The only woman who knows her work 🥰 😁
2025-05-06 11:11:07
27
Manda's Glow :
Na mungu Sasa anipee hii confidence ya kuongea Kwa camera kama wewe
2025-05-06 12:50:51
0
sera :
naona nikinyoa dreads sasa
2025-05-06 13:21:55
0
kabau Rispa💫 :
Tell me why huwa n watch video yote n sinunui🤔
2025-05-21 17:32:08
0
Lgnd Tessy :
ni how much
2025-05-06 11:09:46
0
Habibty🎀🇰🇪 :
you are Vibes mama🥰
nikiomoka nitafika huko,we are togeza
2025-05-06 14:31:46
3
Juliet Betty Music :
Kuna ya Dem 2k apo ivo
2025-06-18 12:09:56
0
grasha91 :
Am saving for a good wig👌👌👌 from you burr nikikam nikukose narudi na doh zangu hadi ile siku nitakupata🤣🤣🤣🤣 u r just but the best.
2025-05-08 03:06:46
1
Anney :
yeah,nilikujia wing nikakupata na tools of work
2025-06-06 12:56:02
0
Leillah Joe :
babes nimetoka kuona video yako fulani ...uko na talent mingi mamaa...rathimwo mwana witu🙏
2025-05-06 11:16:05
1
To see more videos from user @rakeeriwigs, please go to the Tikwm
homepage.