@koldblood6: #Sitiresi😂😂 #Mr_AikorogiiTiktokKaskazini😂😂😂

Koldblood wolf
Koldblood wolf
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 May 2025 07:09:32 GMT
79508
5667
148
265

Music

Download

Comments

farajihemedi6
@Meddy faraji97 :
au kisu atumie
2025-08-01 17:23:55
0
boniphasmaani
venture boy :
wenzako wanapiga dili haramu zinatiki lkn ww kila ukijaribu unakuwa. funzo kwa wengine 🤣🤣🤣sitiresi bwana wa majeshi kaka nakukubali sana
2025-05-15 19:03:20
5
user1375802322651
daudi macha :
mwanaume unatumiaje mswaki kusafisha meno mwanaume unatumia brashi waya shuwain
2025-08-01 19:36:21
0
tonino234
Tonino23 :
sasa mwanaume unaongeaje umeshindwa kunguruma
2025-06-26 20:47:36
2
user38966832167
Aloyce wariely Nnko :
mwenyew nakushagaa unatumia tuspki badala ya sururu au saiv umeshakua ubwabwa
2025-05-07 18:38:50
23
user7181956191820
user7181956191820 :
sas wakium unatumiaj stik umekosa panga kijan wakium unatakiw kutumia panga
2025-07-07 04:04:18
1
imma.the.boy85
imma the boy :
asa we mwanaume unatumiaje stick kwenye meno😳 tumia mpini wa jembe we so mrembo🤣🤣
2025-07-17 20:13:24
1
gabrielrmussa
Gabrielr Mussa :
sasa mwanaume unatumiaje toothpick kuchokonolea meno kijana wa kiume unatakiwa kutumia nondo kuchokonolea meno.😂
2025-05-29 16:05:28
7
shalkhanjumha
Rasur Mwemjuma :
naww mwanaume unachokonoaje meno na sitci hujaona misumali au waya waumeme wesiyo jike🤣🤣🤣
2025-07-31 14:47:53
0
ibrah_eminem
ibrah eminem :
NAONA MNAGOMBANIANA URAIS WA WANAUME WE NA KAGO😂
2025-05-07 11:21:27
5
king_roy_1ke
Cocomelon :
ama unachomeka pipe kwenye exosti ya piki piki ama ya fuso 🤣🤣🤣
2025-07-27 12:46:12
0
dogombena2006
@dogombena2006 :
mwana ume ana nunua nguo za kulalia wakati alitakiwa asimame kwenye msitimu usiku mzm
2025-05-15 13:15:40
1
kevin.sephania
Kevin Sephania :
ungekua unafanya kwa vitendo tuna kuona tungekupongez
2025-05-14 18:48:52
2
mlk7833
Angel@2004 :
kwann unatumia toothpick tumia mkuki jomba🤣🤣🤣🤣
2025-07-31 20:55:28
0
abubakarsuleyman64
Mr broken 🇾🇹 :
ww umeshawah kujaribu 😅😅😅😅
2025-07-26 23:29:34
0
user5758104302098
Alm b🌎y :
niliwai kujalibu ile kitu kali usisubutu
2025-07-21 16:35:22
0
saravobarakagmail.com7
blessings saravo :
sasa mwanaume unatumiaje stick kuchongonoa meno ujaona misumari au panga wwsio mremboooo
2025-07-23 06:50:48
0
bulla.khvaratskhe
Bulla Khvaratskhelia :
mm nashangaa umevaa kofia badala ya sufuria
2025-06-03 19:10:41
6
a.nzunda
a nzunda :
kaka umetishaa🤣🤣
2025-07-20 19:06:44
0
abelfaustine560
KIM ♥️ :
sasa mwanaume unaongeaje ukiwa umepanua mdomo mwanaume inatakiwa uongee ukiwa umefumba mdomo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-10 10:55:13
1
dacruz7402
dacruz :
nakukubali ila hayo meno na pua embu usizoom sana yananiumiza macho
2025-06-10 13:08:52
3
kassam.silveli
Kassam Silveli :
kumbe kwaiyo we unatumia
2025-07-20 18:10:06
0
lyimothedon
lyimo thedon :
uyu jamaaa apewe tuzo maana
2025-06-28 21:51:06
0
salvatorymgimba8
ronnie :
😂😂kumbe we ngese
2025-07-12 18:52:40
0
valentinarichard12
valentinarichard87 :
ukapimwe we kk siku nyingine tuonesh mfano ww kwanza
2025-05-07 07:19:20
2
To see more videos from user @koldblood6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About