shida unatoa nyimbo kila mara bila mpangilio,,, wacha moja i-hit mwanzo ndo utoe nyengine
2025-05-09 09:03:54
44
kichum baiby :
Love u bure i wish i had a brother like u
2025-07-07 21:41:35
1
Nob :
Uyo jamaa nlikua namuelewa nlipokua na binti wa mma mkwe
lakn saiv sina hata wa kuchat nae namuona kama hajui kiukweli
2025-05-09 15:04:40
33
Chivalinga_Tz 🇹🇿🇹🇿 :
J once again
2025-05-09 11:06:06
10
Iammyzerh✅️✅️ :
Tunaeikubali Man U kufika finaleee😁😁😁
2025-05-09 14:04:49
20
ZickoSeven :
naomba niwe msanii wako wa kwanza kwnye rebel ya once again kaka
2025-05-11 08:37:25
4
Rue™🥰 :
Hii album 🔥🔥🔥
2025-05-09 09:18:52
4
luex :
ivi najiuliza ulienda kusoma kwenye chuo kikuu chamapenzi?? nakupenda sn 🥰🥰🥰🥰
2025-07-03 07:49:10
1
Chief godlove 66 :
ukitaka kujuwa hizi nyimbo za huyu jamaa ni Kali vuta bangi alafu sikiliza🥰🥰
2025-05-11 09:30:36
3
hilwatyhilwa._16❤️🔥♥️ :
jayy 💕😭
2025-05-09 10:18:31
6
itz õlly :
when are you singing to ibrahim traore 😭😭😭
2025-05-09 13:00:02
9
🦋F.a.e.y..🦋b.e..🦋b.s :
vile nakupenda jay wah🥰🥰
2025-05-09 08:14:17
10
Sweety day care :
song 🔥🔥🔥
2025-05-09 17:34:35
2
Enny Jayson 🇶🇦 🫀🦋🦚 :
my favorite song aaahhh🥰🥰🥰🥰
2025-05-09 08:35:16
3
chimamy goa :
mim sijaolewa
2025-05-09 12:54:33
1
AMAYA🌹bieber💙🦋💙💙 :
wow so nice❤️❤️❤️❤️
2025-05-12 18:27:00
2
Dr Tory :
Once____again🔥
2025-05-09 10:40:56
5
crowncharlie 👑💝 :
jmn we mkaka ngoma zako zote kali inabidi utuambie wapi unatoa mashairi ya hivooo🥰🥰🥰
2025-05-09 14:02:46
3
roycah :
haujawah kutuangush ni umu tu umu tu mwalim wet wa Mapenz
2025-05-09 12:27:26
6
David paschal john janja kimay :
kuna sisi tunaosoma comment na kujibu alafu kuna hawa kengeee wanakuja kwa komenti yako unkuta ety hellow my friend nataka ujue kuwa mtandao unalipaa wasenge hawa wanaboaa kinomaa kubabakee hatutakii
2025-05-09 12:36:51
1
Lilah Maro :
kama unavyotuchanganya wewe jirani sijui yuko wapi umeshatoa kunyeshwa
2025-05-09 11:50:21
1
LØRD GRÅPHÌÇẞ ✔️🏆 :
kwanini ulifuta video ya turudiane YouTube
2025-05-09 11:07:57
10
singida :
basi tuu Sina nguvu ya kuku approach
2025-05-09 15:47:31
1
Zena Issa :
lov you
2025-05-13 13:07:07
3
To see more videos from user @realjaymelody, please go to the Tikwm
homepage.