@financewithmiriam:

financewithmiriam
financewithmiriam
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 May 2025 10:31:53 GMT
44930
602
89
194

Music

Download

Comments

bamboofsd
Bamboofsd :
Not in divine wisdom
2025-05-10 15:38:19
0
kinqbenson
Kinqbenson EBM 👑 :
75%
2025-05-10 14:33:43
0
jrmaridadi
Jrmaridadi :
20%😀
2025-05-10 13:36:22
0
visiongirl0002
visionGirl :
20% tu
2025-05-10 12:35:03
0
petroalfred
petroalfred :
kipato ulichoongelea ni gross au take home from employment + other income?
2025-05-09 12:37:00
0
elegance8561
elegance8561 :
Always kodi inatakiwa kuwa ni 10% ya mshahara wako
2025-05-10 03:38:36
11
francygabby1
Francygabby :
Sina kipato kodi100k🤣
2025-05-10 13:34:58
5
lilyjohn0
Sharon Michael :
wa laki na nusu mshahara unalipa kodi laki kumbe ndio maan sinenepi najipa majukum mazito😭🤣
2025-05-10 09:23:53
7
kasongov6
mr kasongo :
Mm napata 3M nalipa kodi 150 kumbe najionea
2025-05-10 06:20:09
7
shamsa_store_zanzibar
Shamsah🌸 :
Mshahara 350k kodi 300k😂
2025-05-10 08:47:33
7
emmanuell_sk
Emmah_Sk🧸 :
Mashahara wa 300k ukilipa kodi 50k ni standard nzuri tu NB: Usikae mbali na kazini, nauli isiwe zaidi ya 2k kwenda na kurudi
2025-05-10 09:51:54
5
hyui_59
@#$& :
1.5 Kodi 70k 🥳🥳
2025-05-10 08:48:50
1
anoldnyawa3
anold nyawa :
mi 700 afu 20 ishirini kwa mwez
2025-05-10 10:59:43
1
a6dully
Dully :
Anyway ishi pazuri pesa inatafutwa 😂
2025-05-10 12:05:19
3
user5945268422618
user5945268422618 :
Kodi kubwa sana hizo Kodi inatakiwa kuwa ndaji ya 50% ya mishahara kwenye necessities
2025-05-09 18:24:45
0
heriethher
keyzz :
ngoja ninyamaze maana mnaweza kunipiga😄
2025-05-10 11:41:24
2
janerose.warren
Janerose Warren :
mm n nan kipato hakizd lqk 3 na kod n 150k 🤣🤣🤣
2025-05-10 08:08:06
1
derpackrosee
deric :
atakama Kwa take home iyo Kodi bado nying sanaa
2025-05-09 14:07:07
1
marcoshimiyu
Marco Shimiyu :
mimi natafuta mke wakuu
2025-05-10 19:51:37
0
fred_dy_james
F-F :
Economically.. mshahara wa mwezi mmoja unatakiwa uweze kulipa kodi miezi 6 au zaidi
2025-05-10 19:22:28
0
marynnah5
💖marynnah💖 :
🤣🤣🤣nimecheka maana mm mshahara wangu na sehemu nayo kaa ni miujiza tosha
2025-05-10 17:33:09
0
drmeku
Dr. Meku :
😅😅😅😅😅😅 silipi kodi ya 1.5M hata kwa mtutu, ya 500k tuu sikubali, aaah, 😅😅 weeeh
2025-05-10 17:29:27
0
g587928
G :
3M kodi nalipa laki mbili😅
2025-05-10 16:34:35
0
loycejerome0
tilda _wear :
Mimi Sina kipato chochote nakaa tu ndani, Kodi nalipa 300000
2025-05-10 16:29:24
0
innocentbayo2
biizy007 :
naona kabisa hapa wengi tunalipa Kodi ambazo haziendani na mshahara wetu, unataka ulale pazuri coz kazi zenyewe zinachosha.
2025-05-10 15:41:36
0
To see more videos from user @financewithmiriam, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About