umaskin unatesa nyie 🤣🤣 imagine mtu anaongea na mifugo. m pia nikionaga panya huwa namchamba
2025-05-11 05:33:29
33
user3938148562357 :
kama huna akili utajuwa ana ongea na kuku
2025-05-10 19:53:32
308
abdallahmapila :
wapi single mothers aahahahahah
2025-07-13 07:52:35
0
lavie :
wanao amin huyu jamaa kafikisha ujumbe kwenye jamii gonga apa🤣🤣🤣
2025-05-11 06:44:09
224
chandika mtoka :
huwez amin awa ndio watanzania anao wapambania tudu lisu daaa🤣🤣
2025-05-10 18:34:52
79
mryampate! aka njugu mawe 😄😄 :
hii ndio fasihi tunayo itaka sasa 😄👏🏻👏🏻😄
2025-05-11 03:57:10
173
Dettastylish_ :
😂😂😂😂😂😂 watu wa bangi mpooo
2025-05-11 20:21:55
4
winifrida :
tukimwai anapona
2025-05-12 09:37:17
3
gidion Tz 442 :
Ila kunavichaa wengi🤣🤣
2025-07-09 09:53:38
1
Rock Ayoub :
mwamba anaongea na mtoto wake wakike kupitia kuku 😁 ukimsikiliza vizuri utagundua wazazi wanapitia wakati mgumu sana wakiona watoto wao wanazalia nyumbani kabla ya kuorewa😭. ujumbe konki🤝 sema inahitaji akili kubwa kuerewa🌹
2025-05-12 06:02:39
24
Jesca :
mbona kama ameita jesca aunimesikia vibaya
2025-05-11 03:30:59
4
@simon william09 :
wanaoamini hizi ni akili za bangi gonga like apaaaaa
2025-05-10 16:40:47
31
Alawia Mhise :
kwahyo kaka umeamua kutusema hamna xhida🤣🤣
2025-05-11 08:33:27
6
Benny Boomy :
kila m2 atachanganyikiwa kwa mda wake😂
2025-05-10 18:48:28
90
NaahShaby💞💕 :
🤣🤣🤣🤣 huwa sicomment post zako ila hii nimeshindwa kujikaza kwa kweli umetisha dear
2025-05-10 15:49:46
9
Wyn :
MKIMUWAHI HUYU ATAPONA.... NAOMBA MLIO KARIBU MSAIDIENI
2025-05-29 19:02:08
1
cleopa :
marko marko marko nakuita mara tatu 😂😂 fantastic
2025-05-12 14:33:45
0
Zuri :
akikujibu utaanzapi?watu wana akili wanaongea na kuku
2025-05-11 12:12:26
4
Jamali Malike :
ujumbe ume. wafikia wazalia nyumbani Kila mtoto na baba yake
2025-06-23 11:49:59
0
Infinity ♾️ :
huyu jamaa ana manisha jambo frani bila d 2 huwez elewa🤣
2025-05-11 18:11:07
8
MIKEL GENIUS FX :
safi content yake inaukweli ndan
2025-05-10 20:53:08
18
nista :
😂😂Mbavu zangu ila marko 😂
2025-05-09 13:30:05
3
j.the don :
hahah umetishaa kakaa
2025-05-09 19:20:36
5
Moses marisa :
uyo ni fala tu
2025-05-29 21:26:47
1
Bishop mkuu Flank kalela :
ubarikiwe sana kwa ujumbe mzr kwa mifano nimesikiliza na kucheka zaidi ya mala moja huu ni ujumbe kwa familiya.
pia ni ujumbe wa wote wanao zalia nyumbani kwa waume zaidi ya mtu mmoja
2025-05-22 05:21:47
0
To see more videos from user @markomlyuka, please go to the Tikwm
homepage.