@ijuetanzania: Dodoma 🔥 #dodoma #restaurant #tanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok

Tanzania yetu
Tanzania yetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 May 2025 11:38:32 GMT
229512
7300
638
479

Music

Download

Comments

femalemonarchy
Monarchy Collection :
patoe shishi food kwanza😂
2025-05-10 19:40:31
15
kariakoovipodozi
Kariakoovipodozi :
Chef pride 👌👌
2025-07-25 13:29:47
0
classicdon2
classic don :
sehem gan ya hapo ni nzur ya kwenda night date halaf iwe affordable
2025-05-10 21:13:58
3
nzwallathegreat
nzwallathegreat :
Mwambao wapo vzr sana kwa Dodoma Wana huduma nzuri,smart,haraka na kueleweka. BIGUP TO THEM🥰
2025-05-11 15:22:29
18
leonardndunguru7
leonardndunguru7 :
Golden Fork ipo maeneo gani Dodoma?
2025-05-11 18:01:56
1
user6836568694633
barbie33 :
weka na location mahali zilipo dom sehem gan 🥺
2025-05-10 11:48:52
5
lovenessmjaka3
lovenessmjaka3 :
Hao mwabao wapewe mauwa yao wako vizur mno
2025-05-12 20:22:38
2
jasminejumanneham
Ma Aqram ❤️ :
the prime🥰
2025-07-26 22:32:09
0
mrscha6
Niderelly :
Mwambao the best kwanza wapo on time sio unaagiza chakula mpaka njaa inasema nitakunywa hiki kinywaji tuu mwambao👏🏿
2025-05-10 17:45:50
18
princessmericious
Fashionova@0701 :
Angie snacks ni balaa@❤️
2025-05-11 14:28:22
2
merick_mz
merick_mz :
Kwa suzzie kitchen pazuri nililetewa birian hilo SGR nzima ilikua inanukia birian tu 😂😂😂
2025-05-11 04:55:53
5
greataziz
GREATAZIZ :
Mwambao hata uende saa 12 unakuta Chapati na maharage ziko Tayari zinakusubiri wewe tu
2025-05-11 11:41:21
6
idahcakes1
Idah Cakes :
Suzzie kitchen the best😩🥰🥰❤️❤️❤️
2025-05-14 08:36:30
6
jay_nchimbi
jay_nchimbi :
Mbona mambo ya pwani hamjaweka😂😂 au ule ni mgahawa😁😁😁
2025-05-11 06:14:02
3
victormathiascharles
Victor Mathias Charl :
kuna magenge mmeweka apo alf mnasema ni restaurant, kuna vitu msifananishe na akina mwambao chief asili
2025-05-10 19:59:19
1
leytravial
leytravial :
Watu wanaipendea mwambao kwasababu ya bei zao nizakawaida tu
2025-05-11 09:06:46
5
yoypqq4
🌹🌹 :
Suzie kitchen ipo wap
2025-05-11 08:35:20
1
nirshayabdul
pretty :
Mwambao restaurant is the best in everything
2025-05-11 05:59:01
5
marandu26
marandu :
Hyo dodoma collina inapatikana mitaa ipi
2025-05-10 19:50:35
0
daarularqamonlinetv
@daarul_arqam_online_tv :
mwambao is the best 🥰🥰🥰
2025-05-11 05:56:44
10
hosiana.malema
Hosiana malema :
colinas restaurant the best
2025-05-14 00:27:10
4
emmy25_0
emmyG :
hivi mm naishi dodoma kweli??😳😳 nitafute tuu ela😁😁😁 nikaijue leone na china toeni na loc basiii
2025-05-13 08:43:04
0
shapheekidevu
shapheekidevu :
Angie snacks bar location yake
2025-05-11 09:11:55
1
airiness_store
AIRINESS_STORE :
@angie snacks bar Wana balaa🔥
2025-05-11 04:23:42
3
To see more videos from user @ijuetanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About