@monsuly2: Sidhani kama naweza kuandika caption nyingine zaidi ya hii kwaaababu nimeelezea tayari kwenye hii video, Kama upo kwenye mahusiano ya hivi tambua upofu wa mapenzi unao wewe ZINDUKA💔🥶
monsuly mm wangu kila anachotaka nampa lakn nikimuambia tuonane ananiambia unahela? ukitaka utokee na mm andaa laki ss mm nashindwa kumuelewa kabisa sijui shida nn
2025-05-12 10:16:32
4
Lucy :
ivi mwanamke jaman mna ujasili gani wa kumpa mwanaume pesa,mmmh mbona mm nashindwa io ishu yan ata buku ty nikimpa moyo unauma na atailudish tu 😂😂😂
2025-05-12 07:39:01
5
swahildah. Lugiga :
tuliopitia upofu na tukaachwa bila sababu yoyote😂😂
2025-05-31 09:47:56
1
Official Moyo❤️💫 :
Narcissistic,toxicity,manipulation,kwa mtu mmoja😭😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-05-12 15:50:29
4
gaundesia :
aaaa temana naye utapata wakukupenda dada huyo anamwigine amaye yupo moyoni mwake mtu umsaidia hdi Hela Bado anakufosi kwanzi niwajibu wake kukutusa wew dada
2025-05-11 18:02:39
1
sapretty young🤩🤫 :
hampendi huyo kashalishwa limbwata,asijipotezee muda hapo
2025-05-11 16:43:36
4
mumbere baraka :
ule mwanaume hamupendi ule dada
2025-05-12 00:57:32
3
shey love🦚 :
mhh amna jamn tna kimbia mbio miita sabin
2025-05-11 17:36:44
2
juniormumbere481 :
mutu akikupenda ataku onashangizigani
2025-05-19 22:26:36
0
clalabenjami :
huyo mbona anajionyesha kabisa hakupendi uyo dada ang shituka
2025-05-11 17:22:48
3
DA SWABRINA :
huyo ampendi mwambie TU aachane na yy maana mwanaume wa kweli ni mwelewa asipoteze mda kwa huyo mwanaume
2025-05-11 16:08:23
2
officialhappy :
duuuh imenikumbusha kitu but now i'm free 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2025-05-11 18:19:05
2
El sasa Salha :
napend san ushauri wako kk yang🥰Allah akuweke wepes
2025-05-17 21:34:41
1
jean claude@@ :
brown nipeshauri ukiwanamupenzi ambaye ukimupa mukutano mukutane ansema aana muda akiwa namuda atakuya nakama aana atakuya nakweli aji mupakaleo
2025-06-07 22:48:56
1
Tracy Zeish :
sasa kuna swali apo, jiongeze dada unforce, unakosa kumhudumia mamako unampa hela m2 hakupendi
2025-05-11 17:35:21
1
🧢 :
huyo jamaa ana mpenz ambaye anampenda ndo maana anamlingia ila ajaribu kukaa nae mbali kidgo huyo atajuta dada me nakushaur kaa single kdgo jitahid
2025-05-11 17:19:53
1
Asia bakar :
ulimzoesha mwenyewe kosa nilako mwanaume haongwi anasaidiwa tu kwenye ulazima
2025-05-12 10:06:20
2
salome isaya :
50000 mwanaume unapewa unaon ndog shg muach huyoo
2025-05-20 19:14:46
1
Mariam Hashim :
hampendi tena hamtaki Mansur mwambie afanye mambo yake atavumilia IPO siku atajuta
2025-05-11 16:04:56
2
KADADA HOM BEAUTY🥰 :
kapenda pesazako dada angu achananae kipenzi
2025-05-11 19:18:48
1
JESSCA KARIM@8🕯 :
huyu mwanaume 😂😂😂😂 nihatali baki naye kama unamupa 😂😂😂eeeee bwana there’s nothing inside of love dada yang 😳🙏pole
2025-07-26 06:59:31
0
gresricado :
Ata ampendi ila anamfanya shambalale
2025-05-11 17:37:37
1
mesh :
mm hujanibu chochote kaka
2025-05-11 18:34:49
1
Razaki :
kaka nakuku bali sana
2025-06-01 08:58:27
1
kadoli bevans🎀🎀 :
anapenda pesa zake si yye 😔
2025-05-15 08:20:35
2
To see more videos from user @monsuly2, please go to the Tikwm
homepage.