@iroc.tv: Hatakiwi kuonekanaa😂😂 Bonyeza link kwenye Bio kunagalia kipindi Youtube iRoc Networks 📺 Cc. @melody_byt33 @_ms_annah In Partnership with @nbc_tanzania #BeMore #NbcKiganjani #UkigusaTuImoo#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #rwandatiktok🇷🇼🇷🇼
Ukiona hivyo jua kabisa hana interest na wewe, Jamani mbona jambo liko very clear, kupo mahala ambapo nyie wanawake mnawapotezea wanaume ambao hamna interest nao na sisi wanaume pia ziko mahala tunawapotozea kama hatuwajui.
2025-05-12 12:00:12
1
CRX THE TRADER♍️🚀🇹🇿💰 :
huyo alesema yesu wangu ni mmarangu kam skosei🤣🤣
2025-05-12 18:23:02
2
sky boban :
sio lazima uzoeane na watu wengi tunafata protocole 😂
2025-05-14 18:30:44
1
Amigo :
ama wakat unadhani wew ni main kumbe ni sidechick
2025-05-12 09:13:03
3
Eunice__ :
Ni malaya😅😅😅😅😅
2025-05-13 11:51:51
2
moses john :
nye hawa wadada wazuri jamna🥰🥰
2025-05-14 08:37:24
1
Isabella :
nyie wanaboa Sana , je Yule anayekupost happy birthday dada😂😂😂
2025-05-15 05:37:07
1
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm
homepage.