@official_neila:

Official_neila
Official_neila
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 May 2025 12:47:28 GMT
1863948
20759
406
3037

Music

Download

Comments

luciamushi669
lucia mushi :
tuliyo sikiliza hadi mwisho tujuane
2025-05-13 20:01:59
74
salemmirzah4
Mirzah Salem :
Mario kazaliwa 1995 ana miak 30 ila aslay na mbosso wamezaliwa 1995 ila wana miaka 29
2025-05-13 18:54:42
44
diana.kina
Diana Kina :
Nenda kaulize tena vizuri umri wa Ay, dully, juma nature umekosea vibaya mno
2025-05-14 09:16:35
12
benisia08
[email protected] :
hamo sio kweliii
2025-05-13 18:51:56
11
husnaajuma
husnaa juma :
sijapenda kwa baba levo mbona mzee huyu na pua zake
2025-05-13 16:17:58
7
user71629122241472
user71629122241472 :
we hata hujui unachosema jmn sasa mtu wa 94 ana miaka 29🤣🤣🤣
2025-05-14 04:16:38
8
chiefgama
Chief Gama :
apo kwa foby sio kweli nimesomanae mbesa secondary mwaka 2006 ndo tulimaliza kidato cha nne broo
2025-05-17 21:52:25
2
bintmasoudy
Mwahija😋😍 :
Unazingua aliezaliwa 89 ana miaka 35 wa 90
2025-05-16 06:52:57
1
jacky72175
Jacky :
Ay , Ali kiba na Dullsex ,, Juma nature ,, sio ya kweli hao wazee nimezaliwa na nina miaka 29 niliwakuta tayar wanaimba
2025-05-15 18:50:38
8
vabriiz
Vabriiz :
baba Revo wa 86???
2025-05-25 07:11:37
2
lee.fernando2
From your contact :
Mboso 94,Aslay 94
2025-05-13 21:33:03
6
haliet.jayden0
Haliet :
miez ndo imetofautisha
2025-05-13 20:43:52
2
venisaselevesto
venisaselevesto :
hivi unakisikia unacho kiongea kweli🤣🤣
2025-05-15 10:34:19
5
quinenatasha470
Quine Tasha :
nataka miaka ya wanawake
2025-05-13 17:39:09
6
mwajabuomary210
recho Mather :
wengine siyo kweli mbona wengine wazee
2025-05-13 16:05:37
8
user4433345728291
mah b :
jay melody n x wangu kazaliwa 2000 bn🙌
2025-05-14 16:19:01
1
rasheed.sein
Rasheed Sein :
hapo kwa Ay vipi
2025-05-16 16:08:00
2
hussein.mbezi
Hussein Mbezi :
AY sio 87 n 82 kazaliwa AY Alianza kuonekana kweny movie ya girlfriend ya TID na MONALISA y 2002 kw hyo mwamb w kitambo xn
2025-05-15 19:25:57
2
oscarmontez22
Oscar Montez :
diamond nimzee wch kutusoma nn
2025-05-27 20:17:06
3
nancyjuma138
Nancy Juma :
tulio sikiliza hadi mwisho tujuane😆😆😆😆😆
2025-05-21 09:31:39
6
user5623037137858
Stefflon Don or Roxie :
Tunataka kujuah majina yao halisi
2025-05-23 13:37:11
4
katekate23823
bebe Sarah :
ok
2025-05-17 00:22:14
2
elizabeth.laizer5
Elizabeth Laizer :
mjue sana mungu ndihvyo mema yatakahvyo kujia
2025-05-14 11:21:03
4
francis.mwangasa
Francis Mwangasa :
a y hapo umetuongopea cozy ni brother angu
2025-05-13 21:03:45
3
www.sapeboy.com
Sape boy :
Nikiogo hich kbwege Kwelii
2025-05-16 08:41:58
3
To see more videos from user @official_neila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About