@eyes.wide.awake: Bibilia ni kitabu HATARI sana na chenye Nguvu sana kilichofichwa waziwazi mbele ya macho Yako #spiritualtok #spiritualtiktok #spiritualitytiktok #Meditation #meditations #guided #meditation #meditationmusic #meditation101 #meditate #TikTokMentor #opinion #manifestationtips #manifestationtechniques #manifest #manifesting #religionpoisonseverything #tanzaniantiktok #Tanzania #kenyantiktok #uganda #talithakumitanzania #Dar #arusha #Mwanza #fyp #viral #bibile #zanzibar #CapCut

Talitha Kumi
Talitha Kumi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 May 2025 13:51:10 GMT
696695
28148
861
3347

Music

Download

Comments

thomas.richard72
Agiza China na Dotto Msukuma :
Afadhari Afrika Tumeanza kuamka Shida itabaki kwa Ndg zetu wa Muamedi maaana wamekopi kila kitu na kumbe majibu sio ya kweli
2025-05-25 15:33:10
1
qifarukonami
QIFARUH :
😆😆😆YESU ALIWAAMBIA WANAFUNZI WAKE ““Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia. Kweli nawaambieni, manabii na watu wengi wema walitamani kuyaona yale mnayoyaona, wasiyaone, na kuyasikia yale mnayoyasikia, wasiyasikie.” Mathayo 13 : 16 - 17
2025-05-14 20:53:42
225
user6131170036238
user6131170036238 :
maana ya neno biblia ni kitabu na hicho kitabu kimeandikwa na mungu kupitia watu wasio pungua 40 na walikua wanaandika bila wao kujua ili mwanadam
2025-07-16 10:28:20
2
mshope.mosi.mosi
mshope Mosi Mosi 🇹🇿➕🇳🇴 :
Kuna watu wengi sana hawajui unachosema lakini it’s true 🙏
2025-05-14 14:59:14
95
joshua.blackwell65
Joshua Blackwell :
Wanamke wakwanza kuifuatilia Bible kwandani na kutusanua hapa TikTok
2025-05-14 16:04:28
132
goldenjoes
GOLDEN-JOE~S🐐🥇 :
samahan mmy friend.. aah mimi n mkristo mkatoliki na nimesha wai kushuhuudia kutokewa ki rohoo na yesu kristo nikiwa kanisani..
2025-05-29 06:02:20
2
winner.unique2
winner Unique :
jitahid kuelezea kwa ufupi Yan ongea pwent
2025-05-14 19:29:52
109
eduardomoises950
Eduardo Moises :
jaribu kufupisha maelezo ili uwahi kwenye point,tulio wengi hupenda point kuliko maelezo
2025-05-14 20:05:45
6
soja.black
Soja Black :
maneno yako na sura yako inaonesha unachokisema niukweli mtupu kama mtu atashindwa kukuelewa basi matumizi ya akili yake ni ndogo sana 🫵🫡🫡🙏
2025-05-14 17:12:01
6
favour_kenya
Favour_Kenya :
this is so deep, if you read the Bible as history you'll get religion,but if you read it as with hidden events you'll get revelation 🔥I love this
2025-05-15 14:41:10
10
jacksonmnyashidu2
Jackson Mnyashidunda :
hata mm siamin biblia sabab ni uongo ww suleman wake 700 michepuko 300 Ila alizaa watt wa3😂😂
2025-05-15 05:18:10
82
omarkaka006
Omar@KAKA :
Yesu TunaAmbiwa ALizaliwA {i$R@£L}. MTuM£ MuH@MMAD Naye KazaLiwA {S/AR@BiA}. J£, Kama Ni Kweli Hizi Hadithi... TuAmbieni ADaM ALiteremshwA iNChi gani..?🤔
2025-05-16 04:59:27
2
queenieclassic
Queenie classic :
Ongea haraka kabla voda hawajaniita dear
2025-05-15 01:40:50
14
umurundiumurundiu
Africana :
how can I get your full video?
2025-05-15 14:26:10
7
tycoonbigshot255
Tycoon :
hatimae Leo nimekutana na mwanamke wenye uwezo wa kutumia ufaham wake vizuri kabisa Keep it up ✌️
2025-05-16 03:53:05
6
bmmatelephone8
Its_bm_store☎️ :
ccter mm naelewa saan unachokisem kuhusu biblia nahc biblia ijakaa kiharisia ila ni muongozo tuu umeketwa kwa njia ya story ili tufuate
2025-05-14 15:22:03
5
jaram.mngazija
Jaram Mngazija :
Biblia ni maisha halisi ya mwanam mahali alipotoka alipo anapokwenda
2025-05-15 13:22:02
5
user12233396113788
dj willy official :
tangu lini watu wanao nyoa viduku wakawa na akili😂😂😂
2025-06-23 10:10:22
2
japhet_tz
Jjafeeeeee :
andaa mdahalo maana wewe umefunuliwa hayo na umshukuru Mungu
2025-05-15 11:55:05
7
barickmwanabonde
BARICK :
ungekua mzeee apo wabongo sasa ndio wanaelewa, big up but God is there Right?
2025-05-14 20:18:59
7
nibretstudio
nibretstudio :
ongea haraka haraka natumia bando la waty hapa
2025-05-14 21:09:33
33
user26594533821073
user26594533821073 :
kwanin mungu na mwana ni weupe na ibilis na mapepo ni meus.na watu weus waliitwa the curse of ham kizaz cha ibilis.na watumwa wa maisha kw weupe😆
2025-05-16 05:22:57
7
husseinkaoneka
JinalaUkoo :
Viongozi wote wa marekani na izrael hawana dini jiulize kwnn, dini utumwa na historia ya kabila fulani, mfatilie kinjikitile, mfatilie mansa musa
2025-05-16 07:44:45
4
shoo.hance
J _shoo :
tatizo wengi humu kwenye comment hamjasoma yani mkiambiwa lugha ya picha hamuelew kabisa
2025-05-16 07:38:46
5
rrnb5
RR²&B772 :
Ukiwa bado unakiri kuwa Adam na Hawa walianguka kwa kutenda yale waliotenda utakuwa bado hujafunguka na kuijua siri iliyopo ndani ya hiyo bibilia
2025-05-14 19:11:21
22
To see more videos from user @eyes.wide.awake, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About