People need to open their eyes!! What is Gachaguas motive after you listen to his old clips. I can’t believe people believe in this guy surely, how? He says what people want to hear to get his way, no consistency, just selling his motives.
2025-07-12 01:05:48
7
Kamau.@2term :
Kutetea former D.O ni ngumu sana.
2025-06-05 22:23:29
15
kfm@saisay :
huyu matiangi hapana
2025-07-25 18:58:52
0
Boniface Owino :
kumi bila break 💔💔💔💔💔💔
2025-07-17 09:28:13
1
Daudi Brian :
huyu ni mwendawazumu
2025-07-13 09:11:40
4
josephill :
mm Ruto ako na kura yangu munitusi
2025-07-13 10:43:31
12
Fidel vilcom :
weka ya Ruto na Raila pia😂
2025-07-06 10:03:11
4
Mamu :
pastor Dorcus walai nimekuogopa mama huyu ni mjomba ya shetani
2025-07-14 17:38:09
2
antidote :
Are we sure heaven is real??
2025-07-13 17:09:26
0
vivy658 :
huyu in a span of 2yrs ameongea maneno mtu normal aneza ongea for 30yrs shida ni anageuka kama chameleon sas unashangaa who is the real him?
2025-07-13 10:18:51
6
dancanlekuta :
na sasa matiangi ndio tena unasema tosha wewe kweli uko na akili timamu
2025-07-09 06:13:49
12
Johntez :
Huyu mtu ni mgonjwa kichwa
2025-07-13 16:51:00
2
GEOFFREY NGENO :
unajimba choo ukifkiria ni kaburi.unaambia jirani eti shimo ya takataka.😁😁😁
2025-05-16 16:32:50
2
Joshua :
jikaange na mafuta yako bro wanasiasa si wakuaminika
2025-07-14 11:08:34
0
king pogba :
huyu huwa anaongea kwanza ndo afikurie
2025-07-01 12:51:35
4
Amoo✨✨✨💫 :
huyu ajielewi
2025-06-25 16:18:53
2
kijanaa wa zamani :
malala amefikiwa 😂😂😂
2025-07-10 12:39:26
0
Ivan Bittok🇰🇪 :
he's been always talking about Mt kenya, huyu anajua uko turkana kweli????
2025-07-12 01:35:50
0
Paulo :
Anapigana tena na Deputy wake Malala
2025-07-10 15:00:15
1
black child :
huyo ni uncle yangu anakuanga hivyo akiwa njaa,ni vile Jana tulilala na uji,na alirudi kama amelewa pia
2025-07-14 12:38:59
0
mila :
king of own goal 🤣🤣
2025-05-16 08:26:14
6
Salmon Omodia :
😄😄Afew minutes later
2025-07-14 17:08:40
0
wagenikaribu :
this gacietha looks different than today
2025-07-12 14:00:40
1
moisun3 :
Si ulisema Uhuru ndie alifilizisha wamurima. si ni wewe ulipia debe Ruto. si tulikuona ukilia mahakani ukiomba msamaha kwa Kosa la corruption. wakenya wote wanakuelewa
2025-07-12 12:49:38
0
Dkt@lastborn :
Hawa Sasa Ni ugali Na mboga asubuhi Ni wamunyoro express 😂😂😂
2025-05-15 21:20:22
7
To see more videos from user @kinyungumuhinyia, please go to the Tikwm
homepage.