kama una jua kua unaishi kwajili ya mung gusa iyo alama ya kopa
2025-06-25 18:26:31
30
user9156223228570 :
ukweli mno
2025-07-21 00:27:34
1
ndaru ministries 🔥✝️ :
kaka ni kama. comedy lakin Ina funza
2025-05-16 10:13:31
20
Patrick :
kama unalijua hilo gali gong like
2025-08-01 11:39:39
0
DEOTRONIC .MOBILE .ACCESSORIES :
Yohana 3:16
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.🙏🙏
2025-05-17 12:13:19
7
USELESSMAN :
hili.gari usiombe ipaki kwenu maana machungu utaishi kulia, hili gari halipati ajali ata tereva awe mlevi hili gari,hili alipanda Baba Babu mjomba na shangazi cha ajabu mpaka Leo hawajarudi safari hili gari,hili gari 😭😭😭😭
2025-05-16 13:12:28
35
Makio :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔hilo gar likambeba mamangu na babangu💔💔
2025-06-07 14:06:59
13
Samuel Nicolas :
Kwahiyo, Tumukokee Yesu Kristo ili siku za mwisho tupate ufufuko kwaajili ya uzima wa milele
2025-06-27 19:35:20
1
Binti Salim #409hilymamaz :
😥😥😥😥Najikuta nalia wallah💔ya rabbi waepushe na adhab za kabri wapendwa wetu walio tutangulia🙏🏿 😭Na sisi tulio hai ya rabbi tupe akili zakukutambua nakukusujudia kila siku za maisha 🙏🏿 Ya rabbi tufanyie wepesi wa kila jambo waja wako tupe mwisho mwema Inshallah 🤲🤲🤲
2025-05-17 13:51:55
7
enock temba :
Mbona me sion gari hapo 😂😂😂😂🤣🤣
2025-05-16 09:47:07
14
Sophie :
😭😭😭😭😭 Mungu utupe mwisho mzuri
2025-05-31 19:05:05
6
user9331791460015 :
mungu ni jalie mwisho mwama😢😢😢
2025-05-16 05:59:44
111
ABDI ISSA AWSU :
huyu jamaa amekipi na kupest hayo mashairi kwa yule kijana wa kiislam
2025-05-16 06:42:22
170
dhulkifli_28 :
Umemuibia albajoon anaimba kijana wa kislm
2025-06-29 06:15:16
2
fredbrandy :
ume tish mtuuu wang☺️☺️☺️
2025-06-03 23:03:51
2
king of road :
jikaz kk
2025-06-28 20:24:48
1
🎀🎀 herry mishepu :
gar liko wap
2025-06-28 14:10:26
2
farris 🇾🇪 :
Kuna chakujifunza apa
2025-06-13 04:44:25
4
TŒÑËYÆH 💔 VËLŒRÏÆH ❤️🩹 :
...apewe maua yangu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
2025-05-17 11:51:34
3
Salum the Donny :
aliyetaka kulia kama mimi tujuane
2025-05-23 08:24:07
4
Sifa fred :
kaka inatosha bas ee
2025-07-04 12:34:06
2
LAMECK🤸 :
NAKUELEWA SANA MAGAMBO JOHN 🫡🫡🙏
2025-05-16 19:25:11
3
babaaake :
wakenya ni wajanja Sana ila kwa hili gari hamna kukwepa 🤭🤔🤔🤔
2025-06-17 08:11:01
1
Neema Ngushi :
haijalishi kakop ila message sent
2025-06-10 12:11:34
6
To see more videos from user @wmbuna5, please go to the Tikwm
homepage.