@blaxstore175_hq: Leo tumezungumzia namna ya vifaa vya kielectroniki na vitu vingine vinavyoweza kusababisha mlipuko au moto vikiachwa ndani ya gari ,,Hakikisha umefollow page YETU
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yaaani umeninyanyua saiv saa sita kwenda nje kutoa power bank yangu mwanang😂😂😂😂😂😂😂
2025-05-17 21:04:11
13
Ballopixel :
Eeh bhana kabla sijasikia ukitaja chupa ya maji nilitaka kucomnt chupa ya maji maana ilisha nikuta bahat nzur nilikua sehem ambayo kulikua hakuna kitu chakugonga
2025-05-18 07:20:07
5
Anita :
1.powerbank 2.perfume 3.miwani 4.lighters 5.chupa ya maji
2025-05-18 14:59:18
15
Bhoke :
bora wewe unaongea harakaharaka
2025-05-18 13:54:51
19
aqubic :
ntaaakikishaa gar ntakalo linunua ina AC😂😂😂
2025-05-19 03:36:45
1
iam-chox 🍫 :
ngoja nipite zangu hi hainihusu nkipata gar ntarudi 😌
2025-05-18 14:44:22
1
GODFREY MBILINYI :
👏👏👏umetisha mzeee
2025-05-17 16:06:38
2
Kamuntustore :
Hapa bado tu kununua gari sasa😂
2025-05-19 14:39:33
1
emilyluvanda227 :
akili kubwa
2025-05-18 02:13:35
3
_.saminah_ :
Hayaa nishajifunza bado gari tu😭😭😂
2025-05-18 14:53:55
1
Ornella Mugisha 🇨🇩 :
Hapo kwenye maji uongo
2025-05-18 17:39:24
0
To see more videos from user @blaxstore175_hq, please go to the Tikwm
homepage.