Mm najiuliza hilo gr limeharibika toka mchana asikar walishidwa kushugulikia walitoe kweli paka wanakuja kuua watu alafu wanakuja kusema mwedokasi wa dereva kazi ya udereva inaelekea wp sasahiv😭😭😭
hii ni ya jana tu nimeipita sijui ilikua sehemu gani pale kulikua na asikali wapo chapu sana kuruhusu gari kutoka zisije kuleta foleni hiyo chuma hapo ilikua imeharibika na wameweka majani wa bus kaenda kuuma nyuma hapo sema ndo maisha yetu ya Road life huku michezo tu
2025-05-20 15:11:17
0
A boy from kibaha pwani :
Dereva vp hari yake
2025-05-19 15:29:12
0
kavishe :
poleni sana
2025-05-21 18:21:23
0
livingbles :
NBS 🤕
2025-05-19 21:05:29
0
Shukurani Mahiga :
🤣🤣🤣
2025-05-26 10:57:03
0
Ahmadi Athumani1360 :
hii leo asubuh maan nimepita alfjir papo vzr tyu
2025-05-19 09:17:11
1
hafidhichomba :
duh chuma ya king
2025-05-21 20:28:31
0
alleybey :
nbs
2025-05-19 14:47:18
0
To see more videos from user @suleimancr7, please go to the Tikwm
homepage.