camera man tembeza camera pole pole kuna mtu alinikopa pesa na nikama nimemuona hapoo 😂
2025-05-20 18:37:30
962
the blues fan :
aty after wiki mbili kuja chukua familiya yako😂😂😂
2025-05-19 21:33:37
709
#TheCryingChild :
😂😂yani hii baiskeli yako ya mguu moja ndiyo inafanya unatuongelesha mbaya...ukipata probox siutatuua
2025-05-20 06:50:36
335
Dr. H U M :
i used to see this guy's hapo archives nikienda shule back in high school, that problem with them walikua wanatembea na pickpocketers, wakati unazubaa kwa hizi dry jokes zao unaporwa, waliniibia fare ya shule
2025-05-20 08:32:45
63
BartetahSK :
:Kuna siku mamako ata kuomba 500 na umtumie 5k....usiseme Amen amka enda utafte kazi🫵😂
2025-05-20 12:20:56
142
notification :
niliacha akiwa embu saai ako wapi🤣
2025-05-20 05:19:36
79
ISIIBAL :
watu ndio wajinga kuliko huyu jama, wanasikiza mtu anakaa chafu hvo😂
2025-05-20 05:19:40
34
Joshua Joe :
Akona vibe za Sifuna low budget🤣
2025-05-21 05:17:39
50
double focus :
aki mkimsupport ataenda mbali 😂
2025-05-20 05:15:21
36
Queen Gety :
Ety faida ya mwanaume ni nn??😂😂😂
2025-05-24 08:13:12
4
kenizrael_shitambasi :
Acha story mob panda bike
2025-05-21 09:17:09
43
Smart official reborn :
lonzi I know you bro from kitale misemwa kwanza Constutesy😂
2025-05-20 10:47:32
8
Yahya🇰🇪 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Uyu alete paybill
2025-05-19 20:26:36
59
Linus :
Nimengoja kuona vile unapanda hio baiskeli we mzee
2025-06-08 18:15:16
0
Sek03@254 :
Ni mimi naona huyu jamaa anafanana na Sifuna😂
2025-05-20 04:26:34
35
M.B.T.G :
kwani munga ame anza comedy
2025-05-21 19:38:39
23
Josias trincao :
nimepitia kenya na nyuma nikakam nika comment
2025-06-19 01:41:06
0
Ezra Kiplagat :
watu wanacheka nini sasa
2025-05-21 16:07:35
1
Maxwell Kole :
anaongea mingi si aendeshe hiyo bike ya gurudumu moja...ana waste time bure.
2025-05-20 05:31:37
5
Olmirishoi Saingeu :
hapo kwa kushindwa 🤣🤣🤣🤣
2025-05-19 19:43:58
21
Kijana Ya Sakaja :
Na una ongea vibaya though 😂😂😂🤣🤣
2025-05-20 05:16:22
17
nasiiff24/7💦 :
part 3 plz
2025-05-19 19:31:47
2
Samuel Apetet :
Samia Suluhu apati mimba😂msaidie
2025-05-19 19:31:11
10
The R.I.P pioneer :
skia hii mistari
me : are you the right person ???
her : why
me : because youre standing on my right hand side😁
2025-05-25 13:02:04
3
Nelson Bizaccount :
Kwani siku hizi anafanya solo
2025-05-20 07:02:29
1
To see more videos from user @h.a.r.r.y.k.e, please go to the Tikwm
homepage.