Ee mwenyewezi Mungu ninakuomba unisaidie mimi mja wako na huyu anayesoma coment hii kushinda majaribu yote katika ulimwengu huu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2025-05-24 10:21:05
144
merisiahmosha :
kama nikikutana na huyu mchungaji nitamuomba kitu kimoja tuu
aniombee ninunue gari hata used tuu ili niweze kuamka na kuenda morning glory kanisani kwake kijitonyama kila siku
2025-05-22 03:56:51
209
djulie :
Bwana Yesu Asifiwe!!
2025-07-08 06:51:28
0
moraa :
pastor mafuzo yako Ni ya ajabu pastor wengine hawana mafundisho ya kutoa Bora utoe tu hawana aja
2025-07-27 05:23:10
1
bella fifi :
which psalms?
2025-05-22 16:32:38
10
Linah :
Bwana Yesu asifiwe samahani lazima iwe hela tu au hata sadaka ya mnyama
2025-05-22 17:35:20
8
Dhahabu :
kuna mtu alipewa zawad ya kisu kwenye ndoa baada ya wiki kadhaa kwenye ndoa alpat ajal akakatwa miguu yote,tuombe jamani
2025-05-22 10:07:47
52
Bibi Hancy :
nikiwa nataka kumuona mchungaji kimaro unafanyaje
2025-05-22 08:29:36
17
Sophia :
Nimelielewa sana somo la sadaka ya aman asant baba
2025-07-28 14:35:55
0
Lady J :
sadaka ni. nini na kizungu
2025-05-23 12:09:37
6
adrophinaka :
🤔 kuna mtu altaka nimshonee mashat ya shule ya watoto akalipa na garama za mashno kbsa ila kitambaa alicholeta kishonwe ni sanda 😭😭 nikamsbil aje kuchkua mashati take
hakuja, ila tangu apo sinaga moyo wa kushona, mtu akileta kitambaa namimi napeka kwa fund😭,
Nilizn ni ubusy na mambo meng
sasa umenifungua ufahamu nimekumbuka mbali
2025-05-27 08:13:17
2
Ee-collection :
Amen Dear ntaomba kibali kwa Mungu na mimi nitoe hiyo sadaka ya amani
2025-05-22 11:35:02
7
Kassanga MM :
Bwana Yesu Asifiwe Mtumishi, Naomba nielekeze jinsi ya Kutoa Sadaka ya Amani.
2025-05-22 06:58:44
13
Hamis China :
amina
2025-05-22 16:59:10
3
vaileth :
Kama Mtumishi amepewa Sanda Mimi ninan? Mungu nisaidie,, Asante mch kwa Mafunuo Haya
2025-05-22 15:15:43
8
blessed-musika :
natamani kuisoma hyo Habari ya Daudi kuhusu kutoa sadaka ya Amani , kwny Biblia naipata wap ??
2025-05-25 07:38:33
6
jack :
Ooooh nimeelewa sn Mungu akubariki mchungaji
2025-05-23 05:48:54
5
Raqel :
Hii sadaka naitolea wapi
2025-05-22 05:39:00
8
PatWas :
2nd Samuel 24:25 lakini unawezasoma kutoka vrs 1-25 ili uelewe zaidi
2025-05-23 10:56:42
4
maryamnzengo :
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi
2025-07-16 09:13:49
1
G27🦋 :
Asanteeee snaa Mtumishi me nilikuwa Sijui kama Kuna Sadaka ya Amani na kuepushwa na Mabaya🙏🙏🙏 Mwenyezi Mungu akulinde Snaa naendelea kujua vitu vingi kutoka kwako🙌🙌🙌
2025-05-24 19:42:46
5
Makeba Judy :
Asante muchunguji umenipatia ufunuo wa ajabu
2025-05-22 13:53:26
9
Eternal madame :
safari hiii nikituma pesa Tanzania nutamwamby mama anipelekee kanisani sadaka ya amani..🥰🥰🥰
2025-05-23 13:17:36
4
Official B💫🦋🫦 :
Nmesikiliza Mara kumi nimeelew mno jpili nitatoa sadk hii 🙏
2025-05-22 16:23:31
13
phinasammy :
nimejifunza kitu
2025-05-22 08:09:01
5
To see more videos from user @revdrelionakimaro, please go to the Tikwm
homepage.