hivi office ya brela iko moja tu nchi nzima na ipo wapi ? je kiwango ya usajili kinatofautiana kulingana na biashara ?
2025-05-24 11:55:27
3
Ashrppy :
nina biashara nataka isajili kaka yangu
2025-06-26 12:34:50
2
Dr Mchuta :
mnapatikana wap
2025-07-26 00:24:35
0
jacothepaintervsdecoration :
ukisha sajir jina la. biashara kwa maka unatakiwa ulipiee kodi au ulipi kitu chochotee
2025-05-24 05:49:23
1
Busekele phones :
ivi ukisajili jina la biashara brela inakua tayar ni kampuni au?
2025-06-21 08:46:19
1
addy_naturalist :
Unaweza kusajili jina la biashara bila kuwa na biashara?
2025-05-24 15:27:51
3
Goldgap Printing :
Jumla ni shilingi ngapi?
2025-06-30 18:22:06
1
Vanydizo :
una biashara nyingi zinazo tumia jina moja mfano jemsi cash point, jemsi medical heath laboratory , Jemsi duka la dawa muhumu swali utasajil? jina mo
2025-07-22 01:15:43
0
Destin boy :
nauliza ukisajili jina la biashara unaanza kulipia kodi?
Au ni hadi usajili kampuni ndo unaanza kulipia kodi asante
2025-05-25 15:08:18
1
profleoy :
ukisajiri jina la biashara na biashars ya online. je nina haja ya kwenda TRA kufanyiwa makadirio. au nikishakuwa na hii ya brela naweza endelea na biashara?
2025-06-02 20:57:33
1
babamaher :
kwn ht hizi duka za mangi shop zinahitaji hy usajili
2025-05-25 02:59:11
2
philbertaloys :
kila kitu ni kukamuliwa tu,
2025-05-24 19:06:56
1
Radhia Juma :
mnapatikana wap
2025-07-22 09:42:24
0
Ms Numero :
eh kumbe
2025-06-26 18:11:04
1
𝚁𝚊𝚖𝚊𝚍𝚑𝚊𝚗-𝚔𝚒𝚓𝚊𝚗𝚊 :
kwani jina la biashara ndio jina la kampuni.?
2025-06-24 14:22:45
2
zackiasaidy595 :
ofisi iko wapi??
2025-06-25 07:02:19
1
Mhina :
penati ya kodi usipolipa kwa miezi mitatu huwa ni asilimia ngapi
2025-05-25 17:45:19
0
Dr Kiwale :
namna ya kulipia jina la biashara kwa mwaka unafata hatua ipi?
2025-07-10 13:21:48
0
imaculathmtaresi :
Nawezaje kukuona maana huku hata sielewi
2025-06-26 06:00:46
0
Kimario,John G :
iyo Ada inalipiwa kila mwaka? Ni Tsh ngap jina linakuwa linalipiwa kwa mwaka
2025-05-23 09:42:40
1
HEKE :
nikiingilia brela naweza kujisajili mwenyewe au niende wapi nkasajili
2025-05-24 11:26:39
1
diNo 🦕 :
GHARAMA LA BIASHARA KUSAJILIWA NI 20,000
THEN KILA MWAKA UNALIPIA SHINGAPI
UKISAJILI JINA LA BIASHARA KUNA MADHARA YEYOTE
2025-05-23 12:28:30
1
poni_homesdecor :
Nahitaji mkuu
2025-05-24 07:12:51
0
To see more videos from user @freetaxguidetz, please go to the Tikwm
homepage.