@oneclearmission: Kenyans stay away from Tanzania ,hamuwezi nunuliwa muharibu nchi yenu na muharibu nchi jirani kwa madai ya kuleta democrasia amabayo kwetu haifanyi kazi#tanzania🇹🇿 #weloveyou#staystrong #Mamasamia #leadyourcountry #withdignity #foryourpage #oneclearmission #foryourpage #viralvideo

ONE CLEAR MISSION
ONE CLEAR MISSION
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 23 May 2025 16:11:30 GMT
47675
1891
569
368

Music

Download

Comments

patrick.oburuoni
patrick Oburuoni :
At atimes we need to think before we speak, the activist in question, what did they do wrong? by going to Tanzania in solidarity with their Tanzanian counterparts, what mistake they do? At this time of age, why would the government arrest an opponent when elections are approaching? if this is not neocolonialism, then what is it?
2025-05-24 08:46:17
16
mylife.315
user2156473227028 :
Si ww juzi ulienda huko 😏😏 jiangalie jimama
2025-05-23 16:30:29
0
hassan.haidar442
Hassan haidar :
wakenya mbna watu wazur ila kuna baadh 2
2025-08-17 09:11:00
0
user8225231784455
ng'hoboko :
hujuwi machungu wanayo pitia watanzania au inabwayako hku tz
2025-05-24 04:23:51
1
king.kissna
KissNa :
Ndmn mm nikasema sisi wa TZ tukaeni kimya Tu hawa wakenya watanyooshana wenyewe kwa wenyewe...........😂😂😂😂😂😂
2025-05-24 06:17:10
52
massoud_tz
massoud tz 🇹🇿 :
Yaani nyie wakenya mngejua nimetoka kula Mayai ya viungo, mkate wa nazi na chai ya maziwa af leo hii mtake tuvurugia amani aisee sitokubari 🥺🥺🥺
2025-05-24 06:51:36
31
jerry15217
Jerry :
huyu kama hajaolew aletwe bongo mara Moja hafai kuishi Kenya make Yuko na akili timamu
2025-05-24 10:56:15
31
user81806271408181
AbuuAzza :
Dada hujui tu watanzania hasa bara si Zanzibar wote wana price tag kuanzia mtoto wa chekechea hata wabunge wao na dada nadhani huijui Tanzania na huwajui politicians wa Tanzania si wa upinzani si wa chama tawala , dada kukaa kimya ni bora Tanzania hakuna lolote ubabaishaji Tanzania kumeoza , Muhimbili dada tunakujua dada huijui Tanzania
2025-05-24 06:44:51
0
emarobat
emarobat :
Mama mungu akubariki
2025-06-02 13:54:02
0
yoyote202
wan :
sababu wazungu hawawezi kuharibu Tanzania..sisi Tanzania hatuna udini au ukabila ..mzungu anaharibu nchi kwa kupitia ukabila au udini sasa tz tumegoma yani hatupelekeshwi na taifa lolote lile, na hii ndio maana naipenda taifa langu taifa la nyerere magufuli na karume. mungu ibariki Tanzania
2025-05-24 08:59:12
9
rvcc.com
Triple_X :
I WISH MAMA SAMIA NA WATZ WOTE WENYE AKILI TIMAMU WANGEIONA HII
2025-05-24 10:11:35
15
the.king5531
👑ᴛʜᴇ㊌ᴋɪɴɢ👑 :
Watu wa mombasa ni Watanzania asilimia zote wako na utu na ubinadamu ,Thanks madam
2025-05-24 10:11:49
8
althuraya28
🔥 :
Ni kweli Dadangu, mie ni mkenya na sijependa hayo mambo, hawakufanya vizuri kuingia mambo ya Tanzania... wakenya tuwache kutusi watanzania jamani
2025-05-24 00:52:03
17
1981_7370
BKM :
Kindly answer this.If it is true their hospitals are working well why are most leaders in the region including that Tanzania when they fall sick they
2025-05-24 05:47:15
2
fimbo.joseph
Fimbo Joseph :
Siku zingine huwa unaongea pumba ila le unaongea point sana 💪
2025-05-24 03:40:08
5
comrade.ko
Comrade KO !!! :
Mama, nimekupenda bure. Una uwezo mkubwa wa kuelewa. Pokea heshima yangu kwako.
2025-05-24 03:55:30
48
kingvictor31
Ra🌞∆-KING👑 VICTOR :
we love mama Samia mitano tena 🇹🇿🇹🇿,,
2025-05-24 03:29:12
27
kajole16
Kajole16 :
wewe dada uko vizuri
2025-06-11 05:06:42
0
kerubo.mo51
kerubo.mo51 :
saulisa wewe wakenya awesi enda tanzania bala mwalika wa tanzania waenda kama wamealikwa ndio sijakata but kusuliwa kwa kurudiswa kenya ukutusumbui laki mbona raisi watabzania kutuita viumbe sio wakenya wote tulibibena kwenda uko tanzania
2025-05-24 06:11:12
0
rashmaiddi
rashmaiddi :
huyu mama anafaaa kuwa rais wa kenya wallahi,nimempenda buree,mungu akulinde sana
2025-05-24 07:22:27
6
twakawawa6
TK :
Greetings madam, you have said it all, kweli sheria zetu zinatulinda sana hapa Tz. Just a little story; mwanamke mkenya alikuwa deported hapa baada ya kutaka kunitapeli kampuni siku anakuwa arrested alidai kupata miscarriage during the arrest akapelekwa hospital kufanyiwa diagnosis na kukutwa ana mayomata (fibroid) ndio ilisababisha the breeding sio miscarriage na hakuwa na mimba, serikali ya Tanzania ikataka kumshitaki for false accusations kwa bahati ubalozi wa kenya ukamuombea msamaha na akawa deported, huyo dada mkenya anaishi Swiss.
2025-05-24 05:25:15
5
immaxosborn
Nollymit :
yani democracy ni hizo agenda za ushoga
2025-05-24 11:11:11
1
user8225231784455
ng'hoboko :
mpumbavu wa kwanza kenya huyu huyu sio mkenya wakenya wanajitambua
2025-05-24 08:16:05
1
sharnonashikawa
sharno nashikawa :
😂😂😂👏👏sasa tuongele chenye government ya Tanzania 🇹🇿 imefanyia activist wa Uganda ni mwanamke sawa wewe ju unajielewa kutuliko mnafanya nini kusaidia huyo activist .achana na democracy ni utu wa mwanamke🤝😌
2025-05-23 17:34:05
2
ahamadially682
Taabarakarrahman :
fact sana sister, waambie hao activists njaa
2025-05-24 03:38:37
5
To see more videos from user @oneclearmission, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About