mimi nimesha jikatia tamaa yakuolewa hapa duniani toka mumewangu afariki nateseka tu kwenye mausiano naumia sana 😢 😭
2025-06-06 12:33:28
13
Reymoh :
kwakweli subra ndo inatuumbuwa ila na wazazii hawatowi elimu ya kutosha kwa watt wakike wao wanajali kiweka vikao vyaharusi tu
2025-05-31 07:57:22
19
fatmahaji19 :
Subra Muhimu jamani .
2025-05-26 07:15:45
18
user5755511322966 :
Rabbana hablana min Azwaajina wadhuriyyatina Qurrata A'Ayun Waja'alna Lil Muttaqiina imaama Yaa ALLAH
2025-06-13 03:55:41
5
Middle.jr :
kwel kabisa Madam Leila
2025-05-26 10:55:39
7
Enighunia Zakayo :
Subira
2025-05-26 06:25:55
6
kautharyally1 :
wanapatikana wapi hao madam
2025-07-21 14:41:51
0
Amina :
mi acha tyuu nitafte mtoto ndoa itakuja ata nikiwa na miaka40
2025-06-08 18:30:45
4
Suleiman :
kilasikumapenzi tushachokanayo
2025-07-04 14:50:02
0
smart 👠🫦 :
mm niliona ila nikua naambiwa vumiliawote wapo hivyo sijui kaa mlee watto nimekaa mpaka kanichakaza maji ya jioni ndio naambiwa palipo baki basi rudi
2025-05-26 21:06:28
2
tawakal :
madam natamani sana ungekua mama mkwe wangu. barikiwa sana walahi.
2025-06-02 23:21:58
3
Mshirazy Harith :
MBONA MNANISEMA ALAF HAMJANITAARIF 😀😀😀😀😀😀
2025-06-05 20:21:06
1
Reyka Ahmedi :
Ya Allah nakuomba unijalie nipate MME MWEMA Mwenye UPENDO WAKWELI AAAmiiin Allahummah Aaaamiiin🤲😭🙏
2025-07-02 12:17:38
4
Miel-Miel94 :
Kweli kabisa tuwe na subra
2025-05-28 09:15:16
3
....Mrs........Y.........💋🌹 :
alhamdulillah mume wangu Allah azidi kukupa moyo huo huo nakupenda sana 🥰 hakuna binaadamu mkamilifu unavo nistahmilia Mimi na mm nitazidi kustahmili Allah anieekeeee inshaallah 🥰
2025-07-03 23:40:58
1
To see more videos from user @abdrash_, please go to the Tikwm
homepage.